NI WAKATI SASA WA KUBADILI JINA LA BWAWA LA STIGLERS GEORGE, LIWE NA JINA LA KIZALENDO KAMA ILIVOKUWA KWA MFUGALE FLY OVER-TAZARA.

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
542
733
Yaani jinsi ilivo changamoto ya kutamka jina la stiglas George kwa baadhi ya watanzania wenzetu hasa wale wa kawaida inaonyesha hili jina halina asili ya kitanzania hivyo basi, itakuwa busara endapo likibadilishwa jina liitwe jina la lenye asili ya utamaduni wetu linaweza likawa jina la kiongozi mashuhuli au hata eneo lililopo ili kila mtanzania ikifika hatua ya kutamka jina iwe rahisi lakini pia liwe kivutio cha utalii kwani litabeba maudhui ya kitanzania zaidi kuliko lilivo hivi sasa...

Nawasilisha...
 
Unapendekeza jina hata mimba bado.
Ndio kwanza harusi imefungwa juzi!
 
Wazo jema sana,kuendelea kuliita kwa jina kizungu ni utumwa wa fikra.
Naunga mkono RUFIJI H.E.P
TAHADHARI:
Kamwe lisiitwe kwa jina la Mtu (binadamu)
 
Yaani jinsi ilivo changamoto ya kutamka jina la stiglas George kwa baadhi ya watanzania wenzetu hasa wale wa kawaida inaonyesha hili jina halina asili ya kitanzania hivyo basi, itakuwa busara endapo likibadilishwa jina liitwe jina la lenye asili ya utamaduni wetu linaweza likawa jina la kiongozi mashuhuli au hata eneo lililopo ili kila mtanzania ikifika hatua ya kutamka jina iwe rahisi lakini pia liwe kivutio cha utalii kwani litabeba maudhui ya kitanzania zaidi kuliko lilivo hivi sasa...

Nawasilisha...
Liitwe KALENGA si ndio unavyotaka
 
Back
Top Bottom