PSSSF, PPF, NSSF pasua kichwa

PSSSF, PPF, NSSF pasua kichwa

Nsimbi

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
1,091
Reaction score
1,208
Mabadiliko PPF na NSSF imekuwa mwiba mchungu na wenye sumu kali kwa wafanyazi wanyonge yaani malofa.

Blabla zinazoendelea sasa kuhusu fao la kukosa ajira kama mbadala wa withdrawal, ni geresha tu. Ukweli ni kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii ni source nzuri sana ya mapato kwa Serikali.

Ukweli ni kwamba Gvt imeamua makusudi kuwaibia wanachama wa mifuko hii na umma unapumbazwa kupitia vibaraka kama SSRA na baadhi ya wahariri wa media.
Si kweli kwamba Serikali inajali welfare ya mtanzania atakapokuwa mzee wa miaka 60. Ni unafiki mtupu. Wanajua wakikunyima pesa yako sasa utakufa anyway na hivyo kutodai mafao yako.

Hivyo PSSSF na NSSF kupendelea kuneemeka kwa pesa za wafu. Cursed SSRA. Why nilazimishwe kusubiri miaka 55 kuchukua pesa yangu ya mafao baada ya kuachishwa kazi? Kwa nini nilazimishwe kuchukua roborobo kupitia ujinga unaoitwa unemployment benefit!!? A stinking usanii!

Wanasema unapoacha kazi sehemu A uombe kazi sehemu C! Hivi akina lousy Mhagama wanajifanya hawajui ugumu wa kupata ajira Bongo? Kwa uchumi gani?

Wanapata wapi courage ya kumwambia mtu aliyeacha kazi akiwa na miaka 49 asubiri hadi miaka 60 ndio achukue pesa zake ambazo kiukweli ni ndogo masikini. Nani atamwajiri mtu mwenye miaka 50?

Nasikia hawajazingatia hata mfumuko wa bei. Ukiwa na laki moja baada ya miaka 10 utakuja kulipwa kiasi hicho hicho. No interest. No nothing. Huu ni mpango wa ovyo kabisa na ni kaburi kwa wanachama wenye mishahara midogo.

Mtu ana milioni 2 mnataka kumpa kidogo kidogo eti kusubiri apate ajira nyingine. Si mumpe hela yake akajiajiri?

This is a great injustice and the whole law is bad very bad to low income earners.

Ajira hakuna waacheni wanachama watafute plan B. Kwani lazima kuajiriwa? Watu wapewe pesa zao bwana pindi tu wanapoacha kazi.

Mtajitakia laana za bureee wanachama wakifa kabla ya kulipwa fedha zao.
 
Kwel aisee juzi nimefatilia hii ishu ni pigo kwa wafanyakazi..
 
Leo hata pensheni za wazee hawajalipa, hakua hela za kuwalipa. Hii nchi inabidi watu wabadilike.
 
Ila kwa kuwa sheria hizi sio msahafu au kabila... mwache afanye atakavyo kutunyonya ili akamilishe miradi yake.... ni uonevu usiomithirika kwa watumishi wa kima cha chini..pindi wakistahafu..!
 
Tumwombee kwa Mungu naye amtese pamoja urais wake
 
Niliachishwa kazi toka mwaka jana mwanzoni nimefatilia kila hatua nimefikia hatua wamenichukua alama za vidole nikarudi nikaambiwa kuwa ukweli hamna pesa ya kulipwa wanasubiri muongozo sijarudi tena nikienda mara yamwisho mwezi wa Saba nimekata tamaa nimemwachia mungu wacha wale tu haki yangu lakini haitakwenda bure mungu awalani woote walio sababisha
 
Iyo kwaajili ya wafanya kazi wa serikali au mpaka campuny binafsi itawakuta
 
Mabadiliko PPF na NSSF imekuwa mwiba mchungu na wenye sumu kali kwa wafanyazi wanyonge yaani malofa.

Blabla zinazoendelea sasa kuhusu fao la kukosa ajira kama mbadala wa withdrawal, ni geresha tu. Ukweli ni kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii ni source nzuri sana ya mapato kwa Serikali.

Ukweli ni kwamba Gvt imeamua makusudi kuwaibia wanachama wa mifuko hii na umma unapumbazwa kupitia vibaraka kama SSRA na baadhi ya wahariri wa media.
Si kweli kwamba Serikali inajali welfare ya mtanzania atakapokuwa mzee wa miaka 60. Ni unafiki mtupu. Wanajua wakikunyima pesa yako sasa utakufa anyway na hivyo kutodai mafao yako.

Hivyo PSSSF na NSSF kupendelea kuneemeka kwa pesa za wafu. Cursed SSRA. Why nilazimishwe kusubiri miaka 55 kuchukua pesa yangu ya mafao baada ya kuachishwa kazi? Kwa nini nilazimishwe kuchukua roborobo kupitia ujinga unaoitwa unemployment benefit!!? A stinking usanii!

Wanasema unapoacha kazi sehemu A uombe kazi sehemu C! Hivi akina lousy Mhagama wanajifanya hawajui ugumu wa kupata ajira Bongo? Kwa uchumi gani?

Wanapata wapi courage ya kumwambia mtu aliyeacha kazi akiwa na miaka 49 asubiri hadi miaka 60 ndio achukue pesa zake ambazo kiukweli ni ndogo masikini. Nani atamwajiri mtu mwenye miaka 50?

Nasikia hawajazingatia hata mfumuko wa bei. Ukiwa na laki moja baada ya miaka 10 utakuja kulipwa kiasi hicho hicho. No interest. No nothing. Huu ni mpango wa ovyo kabisa na ni kaburi kwa wanachama wenye mishahara midogo.

Mtu ana milioni 2 mnataka kumpa kidogo kidogo eti kusubiri apate ajira nyingine. Si mumpe hela yake akajiajiri?

This is a great injustice and the whole law is bad very bad to low income earners.

Ajira hakuna waacheni wanachama watafute plan B. Kwani lazima kuajiriwa? Watu wapewe pesa zao bwana pindi tu wanapoacha kazi.

Mtajitakia laana za bureee wanachama wakifa kabla ya kulipwa fedha zao.
Serikali nyingi Zinau. Na hii ni style mojawapo ya kuua watu
 
Kipindi hii sheria inataka kupitishwa mlikaa kimya mkiwaacha watu wapige kelele bila msaada Leo ndio mnaona matokeo yake ambayo watu wenye maono walishatabir toka miaka mi4 iliyopita.....Vumilieni tu huku mkimuomba Mungu awafanyie wepesi .
 
Un

Si kweli, badili kauli, Unalaumu bure. Wingi wa CCM ndio uliopitisha huu ushetani, mashetani waliitisha ushetani
 
,tuna rais msema kweli na aneyejitahidi kuwatetea wanyonge,ila hili la nnsf na hiyo mifuko mengine kweli anatakiwa aingilie kati na aagize hii. Mifuko ndani ya miezi sita kweli MTU awe amelipwa,hii mifuko haigusiki inafanya inavyotaka yenyewe na lawama zote inabebeshwa serekali ,Rais akiliweka sawa hili wananchi tutazidi kuamini kweli awamu hii imedhamilia KUMTETEA MNYONGE
 
Kazi nifanye PAYE nilipe, VAT nilipe bado na hela yangu wanayoikata kwenye mshahara napo waichukue. Wangeweka hata utaratibu wa kila baada ya miaka kadhaa mtu achukue mafao yake. Huku ni kukomoana kwa kweli. Miaka 60 kuifikia sio rahisi. Wengi tutaondoka tutawaacha na pesa zetu
 
Wajitakie laana mara mbili? Pay wamezuia na bado nchi haina pesa korosho ilikuwa inaingiza sana pesa nchini naw hakuna zao la korosho ni mwiba kwa wakulima na serikali
Ajira hakuna,mishahara mipya hakuna,watu wamefukuzwa kazi kwa kisingizio cha vyeti feki na wengine wakapolwa na mafao Yao,lakini still pesa hakuna sasa sio laana hyo?
Na miaka yote hiyo pay ndio CCM walikuwaga wanazichota wanafanyia kampeni na kuzimwaga kila sehemu,They also sowing the seeds for their own destruction
 
Aaaah.. sahau hilo jambo. Subiri ufike 60yrs utaenda kuzichukua. Sasa hivi ukiacha kazi tafuta hela ya kufanyia biashara za NSSF zisahau tu
Yani nilikuwa nataka kuacha kazi kisha hela zangu za Nssf niongezee na nilizo make nifanye biashara Dahhhh! Ningekuwa sina family ningekimbia hii nchi
 
Kazi nifanye PAYE nilipe, VAT nilipe bado na hela yangu wanayoikata kwenye mshahara napo waichukue. Wangeweka hata utaratibu wa kila baada ya miaka kadhaa mtu achukue mafao yake. Huku ni kukomoana kwa kweli. Miaka 60 kuifikia sio rahisi. Wengi tutaondoka tutawaacha na pesa zetu

Nikifikiria Napata Kichomi tu yani.
 
Aaaah.. sahau hilo jambo. Subiri ufike 60yrs utaenda kuzichukua. Sasa hivi ukiacha kazi tafuta hela ya kufanyia biashara za NSSF zisahau tu
Ukiona kiza kimezidi ujue kunakaribia kupambazuka lakini pouwa.
 
Back
Top Bottom