Umeme ukikatika ghafla usiku nyumbani kwako, usitoke nje ! Usitoke.

Nazidi kuamini kwamba wewe ni hivi punde mzee wa nusu nusu ,unaandika kama unakimbizwa,au ulikua UNAKIMBIZANA NA BANDO LILIKUA LINAISHA?
 
me huwa natoka uchi kama ni wasio jilikana lazima watoke nduki maana nakuw Nime jikoki kama baba ubaya
 
nilikuwa nacheki movie ya THE NUN mara ghafla umeme ukakatika huku movie imekaribia kuisha.
aisee giza linaweza kukutoa uhai.
 
Jamaa alivyoandika utadhani ni mwalimu aliyekuwa anafundisha kwa mbwembwe bahati mbaya akajamba kwa sauti kubwa hadi wanafunzi wote wakasikia
 
Kuna tabia fulani ya watu. Umeme ukikatika unatoka nje kucheck madhari. Hapo ndo unapotea.

Umeme ukikatika kwenye nyumba yako, tulia mpk asubuhi.

Wengi wamekufa

ukitoka nje kuna wale nyatu nyatu,wasafisha nyumba inatagemea una nini kwako.kushituka hupo hospitali
 
Back
Top Bottom