UMEJIANDAAJE... UKUMBUSHO

UMEJIANDAAJE... UKUMBUSHO

hyassin92

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2017
Posts
581
Reaction score
636
```
Kuna baba mmoja alikuwa analia,mtu mmoja akamuuliza kinachomliza: akasema: nilikuwa na mwanangu wa kiume nilimsomesha, nilitaka awe maarufu msomi. Nikamsomesha katika ngazi zifuatazo za masomo,
BECE,
WASSCE,
I.B,
B.A,
M.A,
Lakini?
kijana wangu akaugua gafla na daktari akasema atakufa na hawataweza kufanya lolote, anavuta punzi ya mwisho, kijana akamwambia baba yake amletee vyeti vyake vyote vya elimu
: kijana akasema hizo ndio degree zangu.
Lakini hukuniwezesha nisome"QURAN"
Sijui nitawezaje kuonyesha uso wangu kwa Allah nikiwa siwezi kusoma Quran
..............
Hakuna kati yetu atautuma ujumbe huu kwakuwa hauna mvuto,
Kama utathubu utume. .....
*TAFADHALI SOMA HII YOTE KABLA HUJATUMA: JAZAKALLAH 🙂*
[emoji419] Amka unaposikia adhana, kama unavyoamka unaposikia simu inaita.
[emoji419] Soma Qur'an , kama unavyosoma Vitabu vyako vingine na kuperuzi katika mitandao.
Muogope Allah, kama unavyoogopa kifo na maradhi🤲.
Kumbuka kifo, kama unavyokumbuka jina lako. Ni dakika ngapi unazomtumia kuswali
[emoji524]"alfajiri dk 4 hadi 6"
[emoji524]adhuhuri dk 6 hadi 8"
[emoji524]"alasiri dk 6 hadi 8"
[emoji524]"magharib dk 5 hadi 7"
[emoji524]"ishar" dk 7 hadi 10.
[emoji523]Jumla dk 28 hadi 39 kwa siku Kati ya masaa 24?[emoji523]
Hebu tufikirie tuna muda kwa ajili ya
Allah?
Asilimia 80% ya watu hawatatuma huu ujumbe, natumaini.
Tuma kwa watu wote ambao una anuani zao za mawasiliano🤲🤝[emoji106][emoji114]```
 
cc Faiza foxy
MMAWIA
MSHANA JR
MOABU
MM MWANAKIJIJI
 
Basi usijali...mie nitakuwa mchochea kuni wako ili moto wako uzidi kuwaka.
Shauri zako

😂😂Mie naamini ktk Biblia..hizo rozali mie hapana..na nnasomaga sana tu sema ni mkirsto dormant fulan😊 nipo kati baridi sijui vuguvugu..ila Mungu bado ananipenda
 
[emoji23][emoji23]Mie naamini ktk Biblia..hizo rozali mie hapana..na nnasomaga sana tu sema ni mkirsto dormant fulan[emoji4] nipo kati baridi sijui vuguvugu..ila Mungu bado ananipenda
Chagua moja kuwa Moto au baridi. Unafiki wa uvuguvugu hata sheitwani atakukataa
 
Dah umenikumbusha mbaaali mawaridi ya sala na skapulari. Sala ya memorare iliwahi kunipa tuzo pahala
Zamani nilikuwa naogopa kukisoma kitabu cha mawaridi.
Pale kwenye mkate na divai.
Ila sa hv siogopi tena
 
Back
Top Bottom