Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za jioni wana-JF, Nimeona nije hapa jukwaani kuandika haya machache, huenda kuna wanaopitia hali kama yangu au waliowahi kuivuka wakashare nami namna ya kukabiliana nayo. Mimi ni mtu...
10 Reactions
34 Replies
507 Views
Wananchi wa kijiji cha Mogitu, wilayani Hanang mkoani Manyara, wamelalamikia kitendo cha kuchangishwa fedha kwa ajili ya ununuzi wa picha ya Rais na bendera ya Taifa. Wakazi wa kijiji hicho wenye...
0 Reactions
3 Replies
150 Views
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM – TAMISEMI), Sospeter Mtwale, amesema Serikali imejipanga kuhakikisha biashara ya kaboni nchini inatekelezwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
Jamani ndugu zetu kuweni makini ni kutupashia vyakula vya friji. Juzi kwa aunt nimepewa maharage yameoza. Kutakataa ilikuwa taaabu😕. Nikajikaza kiume
4 Reactions
6 Replies
207 Views
Habari wakubwa hivi kuna Dawa au njia nzuri ya kuacha mtaumizi ya pombe. Shukran
10 Reactions
153 Replies
5K Views
Kama waziri mkuu mwenye kubeba zamana ya nchi na unajifanya mwenye uchungu na nchi kuvaa bendera kumbe sivyo. Tuna fahamu uchaguzi ni batili na bado mkajipa vyeo kama wewe kuwa waziri mkuu...
1 Reactions
1 Replies
152 Views
Yas wanatumia vibaya uaminifu tuliowapa, nimeweka pesa kwenye kibubu kuhifadhi tu lakini wawezizua hazitoki na hawana majibu ya kueleweka salio la kibubu ni 0. Lakini wanadai pesa ipo haijatoka...
1 Reactions
5 Replies
192 Views
JENEZA LAZIKWA TUPU MWILI WASAHAULIKA NDANI Tukio la kushangaza limetokea katika kijiji cha Ikuti, kitongoji cha Kinyika, kata ya Ikuti wilayani Rungwe mkoani Mbeya baada ya wananchi waliokuwa...
4 Reactions
9 Replies
373 Views
Nimejaribu kuangalia mitoko ya watu wakubwa,matajiri,mastaa wa michezo ata viongoz wa kisiasa uku duniani naona hawajazipokea kwa mikono miwili saa za smartwatch je ni woga wa kiteknolojia...
7 Reactions
15 Replies
294 Views
  • Redirect
Kikosi cha mastaa zaidi ya 10 kutoka Kabila la Wangoni kinatarajiwa kuonekana jukwaani siku ya Wakunyumba Traditional Party, wote wakiwa masupa staa wa sanaa mbalimbali. Kwa mujibu wa muandaaji...
2 Reactions
– Replies
– Views
Tukiwa tunasubiri uchunguzi wa police Nimeshtuka kauli ya David Jumbe kuwa alisikia lafudhi ya aliyekuwa akiongoza genge la waliomteka alikuwa Mzanzibari Na alisisitiza kuwa Jumbe asipelekwe...
14 Reactions
40 Replies
978 Views
Hapa tuseme KIMEUMANA, Polisi kazi wanayo!! Habari zenu wanajukwaa! Hii habari ya morani wa kimasai kumuua bosi wao ambaye ni "MUWEKEZAJI" toka nchini China imenifikirisha sana...
15 Reactions
35 Replies
825 Views
Wakuu wewe lete mzigo tu. Mengine tuachie sisi. Dar es salaama moto!
2 Reactions
17 Replies
357 Views
Habari ya hasubuhi. Sio kwa nia mbaya ni vile watanzania wengi hatujui sheria na katiba kwa hyo ningependa kufahamu hasa majibu kutoka kwa huyu mwandishi wa habari na wakili wa kujitegemea. Kuna...
1 Reactions
1 Replies
100 Views
Wakuu ! Salam haisaidii zaidi ya mikakat na ushaur wenu. Nkmekuwa naishi kama ngedere au "guruguja" yani kila zahma balaa tupu. Nimegubikwa na mikopo nadaiwa mpaka na songesha na mshahara kwa...
12 Reactions
97 Replies
1K Views
My Take Naunga mkono hoja ya mdau aliyetolea mfano wa Ghana kuwakilisha Afrika. Wabeba Maboksi walioko Ulaya na USA zaidi ya kutumika Kisiasa sidhani kama Wana jipya. Watu wajifunze Kwa...
1 Reactions
19 Replies
315 Views
Taifa letu limeingia katika kiza kizito ambacho hatukuwahi kufikiria ,wakati tunaomboleza vifo vya wenzetu 500+ walipoteza Maisha wakati wa uchaguzi bado mioyo ya watu wengi haina faraja na...
1 Reactions
0 Replies
93 Views
👉Wahubili wengi wanashindwa kueleza kwa uhakika kwanini watu waovu wengine wanaishi maisha mazuri huku waadilifu wakiteseka kila siku. 👉Swali la kwanini maombi ya baadhi ya waumini...
2 Reactions
7 Replies
254 Views
👉Mshukiwa mmoja mwenye silaha ameangushwa kwa risasi baada ya kuanzisha mashambulizi ya ghafla dhidi ya checkpoint ya Secret Service nje ya White House, tukio lililosababisha mfumo mzima wa ulinzi...
1 Reactions
4 Replies
288 Views
Ifike mahali viongozi waseme kitu maana kila siku tunaona vijana wanalalamika hawajalipwa pesa. Leo hamshauri hii, kesho huku. Inaonekana ni halmashauri nyingi hawajalipwa. Wengine wanadai toka...
2 Reactions
2 Replies
184 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…