Tanzania’s New Airbus Rocks Aviation Enthusiasts, Voted Best Brand
December 18, 2018
Staff Reporter, Quebec
When aviation photojournalist and sky-life enthusiast, Mark Brandon takes pictures...
Kwa style ya raisi wetu pamoja na viongozi wake anamipango endelevu ambayo itafanya nchi yetu ipige hatua zaidi kiuchumi endelea kudumisha vilivyotokomezwa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kero yangu .Mimi mkazi wa mkoa wa pwani wilaya kibaha mjini kuna hawa watu wanaitwa mabwana / bibi afya. Wanatutoza fedha za usafi kama una kibanda unatoa elfu tatu kwa mwezi. Na nyumbani unatoa...
Nakumbuka ilikuwa usiku mida kama ya SAA 2 hivi narudi nyumban wakati nipo njiani nikapita nyumba moja hivi jirani na ninapokaa wakati napita nikasikia kama MTU anaoga hivi nikapiga moyo konde coz...
Kamishna Mkuu wa TRA, Charles Kichere alipokuwa akizungumza kupitia kituo cha redio cha Clouds FM kuhusu mbinu mbalimbali wanazokusudia kuzitumia ili kuhakikisha kuwa wanaongeza idadi ya walipa...
Meya wa Manispaa ya Kigoma Ujiji, Hussein Ruhava amekiri kuwepo kwa sintofahamu juu ya uwepo wa mtu anayefahamika kwa jina la ‘Teleza’ ambaye amedaiwa kuwaingilia kimwili wanawake wasiokuwa na...
Mourinho alikuwa ni kocha anayejiona na kjivuna sana kwamba yeye ni bora kuliko makocha wengine wote. Mara kadhaa alikuwa akimkandia sana kocha wa Arsenal wakati huo Aserne Wenger. Wenger mzee wa...
Wanabodi nawasalimu sana .
Nitaenda moja kwa moja kwenye maada.
Ndugu zangu, Tangu utawala huu wa awamu ya tano uingie madarakani, tumeshuhudia mabadiliko mengi kimfumo na kiutendaji ambayo...
Hatimae mzee kavuta 98m za kiinua mgongo - JamiiForums
Nimesha rudi dar nashukuru kwa mlio nishauri ushauri wenu tumeufanyia kazi kwa kuweka 50M fixed account wakati mzee akifikiria cha kufanya...
Nchi ipo kwenye mode ya ku supress wapinzani haswa chadema, siku ambayo Salum mwalim anakamatwa kama mwizi mafinga,kule pangani ccm makumi ya watu waliandamana barabarani na sare zao wakaenda...
Wallah ndoto ni mbaya sana,
Eti nawaza wale wasiojulikana waliomteka Mo Dewji wanataka kutengeneza movie nyingine. This time, ni kuhusu mzee wa kaya.
Dah, ndoto nyingine mbaya sana, Allah...
Wahitimu wa mlimani katika faculty ya Civil Engineering hawana manufaa yeyote katika ujenzi na uboreshaji wa standard life ya jamii yetu. Toka kuanzishwa kwa fucalty hiyo sijaona kitu chochote cha...
Mimi sionywi na mtu yeyote, naonywa na Mungu na Yesu pekee, hata mkuu wa kanisa (Dkt. Shoo), hawezi kunionya, mimi ni mtu mzima, tunakaa tunaongea na si kuandikiana barua. Askofu mstaafu wa Kanisa...
Habari Wana JF!
Katika sakata hili linaloendelea la kufungiwa wimbo wa "Mwanza Nyegezi" kutoka usafini WCB na jinsi walivyokuwa wanajibizana mitandaoni kati ya WCB na Basata hiyo jana, nimepata...
mtu anadai milion 7 kama malimbikizo ya pesa za likizo Unamlipa laki 1 kama sehemu ya pesa kisha unasimama kwenye kikao tena cha chama chako unadanganya umelipa madai ya walimu? madai au sehemu...
Wakati huu wa Christmas nikijiandaa kwa safari ya nchi takatifu ya Israel mimi Johnthebaptist nawatakia Christmas njema wanasiasa wote hapa jamvini na wale wanajf wa kawaida.
Nawatakia sikukuu...
Mambo mengi niliyoyapanga hayajafanikiwa kwa sababu umenipa AFYA njema nimeyahamishia mwakani, TUJIFUNZE KUSHUKURU KILA JAMBO SIO KAZI KULALAMIKA TU KAMA VICHAAA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.