Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii natoa maoni yangu tu kwa BASATA Chukueni makosa ya wasanii kama fursa ya kupata kipato kwa ajili ya baraza lenu, achaneni na mambo ya kufungia wasanii. Msanii akikosea mara ya kwanza piga...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za Kusikitisha siku ya leo ni Kufariki kwa Prof Mubofu VC wa UDOM baada ya kulazwa kwa muda Mrefu kiasi. Mungu amlaze mahala Pema.
5 Reactions
89 Replies
26K Views
Pascal Mayalla Makofi tafadhali Mtakaosema nsjitongozesha ni poa tu kwasababu ni haki yangu pia Mshana Jr worth mention @mzeemwanakijiji sijui kimemsibu nini kwasasa kuna mijadala mizito kuzidi...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Bunge la jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) limeibua mjadala mkali kwa nchi wanachama ambazo zimekuwa zikisuasua kutoa Michango yao kwa wakati na kusababisha baadhi ya shughuli za maendeleo katika...
1 Reactions
0 Replies
972 Views
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Salum Hapi ameonesha kushangazwa na madai ya kujikuta amelala kwenye makaburi mkoani Iringa, kitendo ambacho kinahusishwa na imani za kishirikina. Kupitia mtandao...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Moderators naomba msiunganishe uzi huu kwa kuwa una faida kwa watu wote kujua taratibu za usafiri wa ndege, ambao ATCL kwa makusudi imeamua kupotosha umma katika kile kinaitwa "damage control"...
10 Reactions
49 Replies
6K Views
Jeshi la Wananchi(JWTZ) limesema lipo tayari kutumia meli yake yenye uwezo wa kubeba tani 500 kusafirisha zao hilo kwenda jijini Dar baada ya maghala mkoani Mtwara kujaa Hayo yamesemwa na Mkuu wa...
2 Reactions
98 Replies
15K Views
Utaratibu huu ungekuweko siku zote wa kuruhusu vyama vya upinzani kwenye shughuli za serikali kama uzinduzi wa miradi ya maendeleo basi Tanzania na serikali ya awamu ya tano ingekuwa imepiga hatua...
1 Reactions
2 Replies
796 Views
Disney ni kampuni ya kimarekani inajihusisha na mambo ya movie. wamesajili neno hilo (HAKUNA MATATA Trademark of Walt Disney Company, The - Registration Number 2700605 - Serial Number 74558335 ...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari wana Jamvi..! Leo nimeamka na hili wazo binafsi, Kwa pamoja naomba Member wa Jamii Forums tutembelee mradi wetu wa Standard Gauge tukajionee maendeleo yake sehemu zote mpaka Kilosa ambapo...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wana Jamvi..! Leo nimeamka na hili wazo binafsi, Kwa pamoja naomba Member wa Jamii Forums tutembelee mradi wetu wa Standard Gauge tukajionee maendeleo yake sehemu zote mpaka Kilosa ambapo...
1 Reactions
1 Replies
666 Views
Wanasema kila mwaka na mvua zake, ndiyo, nikweli kabisa. Wafuatao hawata usahau mwaka 2018 kwa namna ulivyo wanufaisha na kuwaibua machoni na masikioni mwa watu bila kujali Vibua mijadala yao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna habari imetawala televisheni za nje kwamba mlima oldonyo Lengai una dalili ya volcano eruption hivi karibuni! Naona Vyombo vyetu vya habari havina habari hio ====== Tanzania's Ol Doinyo...
9 Reactions
76 Replies
14K Views
Wakuu nimetafakari kwa kina, nimegundua nchi ya Tanzania ina watu wachache sana. Sasa hivi tuko watu takriban milioni 57 hivi. Ukubwa wa eneo la nchi yetu ni km za mraba 945,000 hivi. Eneo hili...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi kwa mfano niki-upload video yangu kwenye youtube, halafu baadaye nikaitoa, na wakati kabla sijaitoa tuseme kuna watu walipata nafasi ya kuwa wamei-download. Je hawa watu walioi-download video...
0 Reactions
0 Replies
668 Views
Asubuhi sana ya Jana nimeona nimkimbize mother ubungo mkoa akamate Basi za mbeya. Nikiwa pale ubungo nasubir kukunja kuelekea stand, ghafla nikaona Changu mmoja akiwa kwenye Daladala ya Tabata...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema ifikapo Machi mwakani ukaguzi utaanza na ikifika Juni mwakani kiwanja au nyumba zitakazobainika zitataifishwa na kupigwa...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Why does Tanzania no longer celebrate sikukuu ya mashujaa siku hizi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom