Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Uchaguzi, Uchaguzi. kutokana na gharama kubwa Naomba tumuombe Rais Daktari John Joseph Pombe Magufuli Pesa zote za uchaguzi tuelekeze kumalizia miradi husika ili vizazi vijavyo na vya sasa vifaidi...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kina mama na kina dada mlio olewa acheni kuchukua mikopo bila ya kuwashirikisha waume zenu, mnafanya siri mwisho wa siku siri inasanuka. Imetokea mkoani Kilimanjaro Wilaya ya Hai, kuna Mama...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Yes, habari ndio. Gazeti la Tanzania Daima tangu Ijumaa halipo mtaani. Yaani limepingwa pin!
5 Reactions
81 Replies
14K Views
Habari za wikiend wapendwa wangu.. Mimi nimuajiriwa katika sector fulani serikalini,.. Kazi niliyonayo kwakweli ina changamoto sana. Yaani kuipata nafasi ya kula bata ni nadra sana,.. Hivi...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
Mkuu wa mkoa wa singida atekeleza kazi aliyoagizwa na mkuu wake ya kugawa vitambulisho vya ujasiriamali kwa wafanyabiashara wadogo wadogo . Kazi hiyo imefanyika katika ukumbi wa rc mission...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MTU MMOJA AMEJINYONGA NYUMA YA BODI YA KOROSHO MKOANI MTWARA. Mtu huyo mwenye jinsia ya kiume, bado ananing'inia kwenye mti wa Muarobaini kwenye kichaka kilichopo nyuma ya jengo la BODI YA...
6 Reactions
82 Replies
14K Views
Wapendwa wana JF napenda kufahamu, hasusani wanasheria. Hivi kupanda madaraja kwa watumishi wa umma ni suala la kisheria; kikanuni; au ni utashi tu wa mwajili? Nafahamu mwajili anapopanda daraja...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tumshukuru Mungu kwa mema yote aliyotujalia katika kipindi chote cha mwaka 2018; Tuwashukuru wazazi wetu kwa yote mazuri waliyotutendea wakati tukiwa watoto pia tuwape faraja katika uzee wao...
1 Reactions
3 Replies
742 Views
BREAKING NEWS WASIRA AZUIWA KUINGIA KWENYE KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM KINACHOFANYIKA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM KWA KILE KILICHODAIWA NI TAARIFA ZA SIRI KUHUSIANA NA YEYE KUPINGA MAAMUZI YA...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Kat yao siti ni moja na wao wapo wa4 kila mmoja anaitaka na anaona ni haki ake, utampisha nan na kwa sababu gani? Picha chini yahusika
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Milenia Trump akiwalisha watoto wa Tmbo alipofanya ziara nchini Kenya
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Atajiskiaje? Nawaza tu Umati wa watu kwa maelfu walikua wakimpita anaishi kama mbwa koko.. Eti ni mshirikina? Ati uzae mtoto mchanga then jamii nzima imtenge eti mchawi? Mtoto mchanga? hizi...
13 Reactions
90 Replies
13K Views
Niliwahi kumwambia rafiki yangu mmoja kuwa, ikitokea ukapata kusikia habari ya Vita ya Tatu ya Dunia, basi, usihangaike kuitafuta sababu, itakua ni Tanzania tu! Amini usiamini a sasa tuko ktk...
3 Reactions
88 Replies
7K Views
TAASISI YA JIOLOJIA NA UTAFITI WA MADINI TANZANIA (GST) TAARIFA KUHUSU MLIMA WA VOLKANO WA OLDONYO LENGAI Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa madini Tanzania (GST) inapenda kuufahamisha umma...
11 Reactions
53 Replies
11K Views
Leo nimeingia Jf nikakumbana na virangi rangi fulani nusura nikimbie nikajua computer yangu inaripuka ! Hatari sana ! baada ya muda kidogo nikagundua kumbe ni decoration za msimu wa sikukuu ...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanabodi Kila kitu ulimwenguni na duniani huwa na mwasisi, je, mwasisi wa WACHAWI ni nani?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu, Nianze tafakari yangu kwa kutoa hoja (hypothesis) kuwa kuna vitu nyuma ya pazia vilivyosababisha mabeberu watoe matamko makali kuikemea na kuishurutisha serikali ya Tanzania hivi karibuni...
7 Reactions
58 Replies
5K Views
Meli kubwa yenye uwezo wa kubeba magari 600 mali ya Dangote imewasili Manispaa ya Mtwara, Imeelezwa Meli hiyo imeweza kutia nanga bandarini hapo mara baada ya Serikali ya awamu ya 5 kuifanyia...
4 Reactions
29 Replies
7K Views
Mara nyingi huwa tunasikia "Watuhumiwa wameachiwa kwa dhamana ya bondi ya mil (X)" Je; hiyo bondi huwa ni pesa tasilimu? au ni mali isiyohamishika?, ni vigezo gani huwa wanatumia kupanga hicho...
7 Reactions
78 Replies
10K Views
Back
Top Bottom