Miiku
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 3,835
- 2,650
Mimi sionywi na mtu yeyote, naonywa na Mungu na Yesu pekee, hata mkuu wa kanisa (Dkt. Shoo), hawezi kunionya, mimi ni mtu mzima, tunakaa tunaongea na si kuandikiana barua. Askofu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Iringa, Dk. Owdenburg Mdegela. #KwanzaHabari