Laana za Wenger zamkumba Mourinho

Laana za Wenger zamkumba Mourinho

Tulimumu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
14,395
Reaction score
13,273
Mourinho alikuwa ni kocha anayejiona na kjivuna sana kwamba yeye ni bora kuliko makocha wengine wote. Mara kadhaa alikuwa akimkandia sana kocha wa Arsenal wakati huo Aserne Wenger. Wenger mzee wa watu alikuwa ni mpole hamjibu kitu ingawa katika mechi mojawapo Wenger kutokana na maneno ya hovyo na dharau za Mourinho aliishiwa uvumilivu akataka kwenda kumnasa vibao sema tu watu waliamlia kuogopa kuwa Wenger ange muumiza vibaya sana Mourinho.

Kama wahenga wasemavyo kuwa usitukane Mamba kabla hujavuka mto. Ghafla naye Mourinho akaanza kupata matokeo mabaya na kutimuliwa kuanzia Chelsea hadi Man United sasa. Wakati yeye anatimuliwa mzee Wenger yeye katoka Asernal kwa hiyari na akaagwa kwa heshima kubwa tena kwa kukabidhiwa kikombe na Fergason. Morinho yeye hajapata bahati ya kuagwa kwa heshima ila amefutwa kazi. Ndio ajifunze kutumia mdomo vizuri na aende kwa Wenger akapige magoti na kuomba msamaha kwa dharau zake. Sasa hivi aende akaombe kazi Bongoyo United labda watampa kibarua [emoji3] [emoji2] [emoji1]
 
Ni kama chadema wanavyoambulia patupu.

Pole Morinyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom