Namshukuru sana Mungu mwaka huu umeisha salama

Mkuu Mwaka bado haujakwisha mzee....

Dakika moja kwa binadam si nyingi kupoteza kila kitu kwa maisha ya saivi, hata uhai.

Subiri uvuke kwanza ndipo ushukuru mzee
Panga mipango ya miaka 1000 hata ukufa andika wengine wataendeleza usiache kujipangia mambo mazuri kwa sababu ya kufa vinginevyo umeaza kukata tamaaa kk
 
Aisee ni jambo la kumshukuru sana Muumba mfano mi mwenyewe nimetoka juzi jela kwa msamaha wa Raisi hivi hapa nnafurahia maisha ya uraiani,Kwa kweli Mungu ni mwema sana.
 
Mkuu Mwaka bado haujakwisha mzee....

Dakika moja kwa binadam si nyingi kupoteza kila kitu kwa maisha ya saivi, hata uhai.

Subiri uvuke kwanza ndipo ushukuru mzee
Musiba hawezi kukuelewa yeye yupo mbele siku 14!
 
Mambo mengi niliyoyapanga hayajafanikiwa kwa sababu umenipa AFYA njema nimeyahamishia mwakani, TUJIFUNZE KUSHUKURU KILA JAMBO SIO KAZI KULALAMIKA TU KAMA VICHAAA
Mwaka huu kwangu ovyo maana bado jamaa hawaja toa vibali vile vya mambo yetu!
Any way mungu lazima ashukuriwe kwa uzima na afya tuliyonayo

Ova
 
Nyerere alipanga kujenga stigler's Gorge wkt hana hata 100 akaona isiwe taabu akaweka kwenye makaratasi mwisho Wa SKU akafa lkn Leo Jpm anatekeleza wazo LA Mwl. We endelea kuogopa kupanga mambo yako kwa sababu ya KIFO
 
Back
Top Bottom