Kusingiziwa kunauma sana

Kusingiziwa kunauma sana

Bedui la bongo

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2018
Posts
297
Reaction score
307
Nakumbuka ilikuwa usiku mida kama ya SAA 2 hivi narudi nyumban wakati nipo njiani nikapita nyumba moja hivi jirani na ninapokaa wakati napita nikasikia kama MTU anaoga hivi nikapiga moyo konde coz sina hofu mana mtaani wananijua japo usiku kumbe wakat nakuja yule MTU aliyekuwa anaoga ni baba mwenye nyumba akawa amesikia miguu yangu akaja ile njia nilokuwa nakuja mm ghafla tukakutana akauliza ww nani nikajitambulisha akasema ahaa nakujua nikamuambia basi mm naenda akasema sawa sasa wakati nataka kutoka kumbe binti wa yule mzee alikuwa anaenda chooni aliposikia mm naongea na baba ake akarudi ndani akafunga mlango mm na yule mzee tukasikia kama mlango umefungwa hivi ila. kila MTU akaondoka zake sasa kesho yake mapema tu naona home imekuja barua naitwa serikali za mitaa nikajiuliza kuna nn ile kufika naona yule mzee wa Jana kaja kunishitaki eti kanikuta nimetoka kwa bint yake chumbani dah..nimejitetea sikuwa kwake mzee hanielewi na ameitwa bint kapigwa ile mbaya ila bint kakataa kama hakuwa na mm sasa huyo mzee anataka fidia ya laki mbili wakati sikuwa na bint yake kwa aina yoyote ile nifanye nn na hanielewi
 
Duuuuuh.....hapo ni mbuzi kafia kwa muuza supu.
 
Mbona kesi rahisi kabisa hiyo.
Faini kwa kidhibiti gani kuwa binti katomaswa au kukojolewa?
Embu mwambie kesi iendelee na shahidi alete na ripoti ya Daktari kama ulkuwa nae.
Vyuma vimekaza tu hapo.
Ila ukikomaa hakikisha kweli binti hujawai hata kuonekana nae kkmazingira ya Utata?
Je, ni mwanafunzi??
 
Mbona kesi rahisi kabisa hiyo.
Faini kwa kidhibiti gani kuwa binti katomaswa au kukojolewa?
Embu mwambie kesi iendelee na shahidi alete na ripoti ya Daktari kama ulkuwa nae.
Vyuma vimekaza tu hapo.
Ila ukikomaa hakikisha kweli binti hujawai hata kuonekana nae kkmazingira ya Utata?
Je, ni mwanafunzi??
binti sio mwanafunzi na sina hata mazoea nae mkuu
 
Muite kwanza huyo binti mshauliane,akikataa Achana nao,akikubali muombe game kisha uchune kwa baba na mtoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom