Walimu waliolipwa na huyu raisi ni yapi?

Walimu waliolipwa na huyu raisi ni yapi?

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
17,546
Reaction score
25,360
mtu anadai milion 7 kama malimbikizo ya pesa za likizo Unamlipa laki 1 kama sehemu ya pesa kisha unasimama kwenye kikao tena cha chama chako unadanganya umelipa madai ya walimu? madai au sehemu ya madai?
ati uchumi unakuwa ni nchi 3 afrika ambazo uchumi unakua ? unapora mali za watu (korosho) kisha unasema uchumi umekua? unamdanganya nani. huo uchumi na hayo madeni ni yepi
 
Back
Top Bottom