Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwenye taarifa juu ya shirika hili, kwa Bukoba atupe taarifa kama kuna mgao wa umeme au ni kitu gani kinaendelea
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana jamiiforums Kama kichwa cha thread kinavyojieleza, nina shida na mwanasaikolojia anayepatikana Dodoma.Kwa mwenye mawasiliano anisaidie au ufahamu popote anapopatikana au...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mheshimiwa rais mpendwa wa wanyonge naomba nikujulishe kuwa hapa Tanzania kuna sehemu tra wanazembea Sana katika kukusanya mapato Mkuu wa nchi bila Shaka unajua kuwa Baar zote hapa Tanzania...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu pole na mizunguko Naomba kuuliza zilipo ofisi za Dar express inayoenda Arusha kupitia Karatu. Maana nimeambiwa hazipo Ubungo stand Msaada ndugu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Good evening ladies and gentlemen I do not pretend to be older than my grandpa, but the truth is despite my age, I'm old enough to confess that life is indeed a mystery. I've seen a Landlord...
13 Reactions
19 Replies
2K Views
Mfano mtu ameoa ana wake watano na wote kazaa nao, akaamua kuwa Mkristo hao wake zake inabidi awape taraka au? Maana si ndoa ya Kristo ni ya mke mmoja/
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Kesho tunasherekea sikukuu Ya X_Mass na next week ni New year, Kabla ya yote inabidi tumtambue Zero of the year wa JAmii forum 2018 Tutamtambuaje ni kutokana na mchango wake anaotoa humu Jf na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimeitoa mahali
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo ajali kibao tu, ila JF naona wadau wamechuna kutupa updates... Jirani na Kibaha kwa mfano muda huu saa tatu usiku canter na gari dogo zimekulana, source mimi. Kidinilo na Shabiby wamefanya yao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana Jf nawatakia maandalizi mema na siku kuu njema pia ya Noeli kwa mwaka huu wa 2018. Lakini wakati tukisheherekea tusisahau na kujifanyia tathimini ya yale tuliyokuwa tumejipangia kuyafanya...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Serikali yaokoa mabilioni ya wagonjwa kutibiwa nje kupitia JKCI Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam Serikali imefanikiwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
IHellow bosess! Kwanza nawatakia heri ya X-mass na mwaka mpya in advance Baada ya ya x-mass na boxing day nataka nika mpumzike serengeti na ngorongoro angalau siku 5 (30/12/2018 mpaka 3/1/2019)...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa jedwali kunaonesha kuwa wale africa waliokataa utumwa wa dini za kizungu na kiarabu ni 5.8% tu Waliobaki wote wamegawanyika kuwa wazungu au waarabu Heri ya krismas na mwaka mpya...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Inasemekana Wataalamu wa kalenda walianza kuhesabu siku na tarehe aliyozaliwa Yesu kristo sasa inakuwaje azaliwe tarehe 25 wakati tulianza kuhesabu siku hiyohiyo ya kuzaliwa kwake?wajuvi wa biblia...
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Nitavaa mavazi mazuri sana yenye nembo za CHADEMA. Gari langu litakuwa na Bendera ya Chadema. Nitaanza kuingia kwenye Hotel kalikali, napanda ngazi hadi floor ya nne kisha nashuka ghafla.. Mimi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kulikuwepo wakati ambapo Waingereza waliona haja ya kudhibiti shughuli ambayo waliiona imekuwa kinyume na mafundisho ya Kikristo. Kila Desemba, ilikuwa imeanza kuwa kawaida kwa watu kutekwa na...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Millard ni moja ya watangazaji vijana maarufu wanaoaminiwa na watu wengi sana wenye heshima zao.. Taarifa muhimu nyingi unazipata kwenye kurasa zake... Ila cha kushangaza kwa mda sasa huwezi...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Rafiki wa Mwamba wa Chato.... Ila Mheshimiwa hizi Ndege zako zote ni nzuri lakini nisikufiche wala hazikimbii kama zingine. Mwamba wa Chato hakumkopesha wala kumchelewesha nae akamjibu...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Habar ndugu zangu.kwa wale wataalam wa Ujenz wa Matofali ya Kuchoma naomaba mnijuze Niandae tofali ngapi za kuchoma kw mfumo wa byumba kam hyo. Na smeent kam mifuko mingap ya kupandishia msingi na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom