Ukijua wewe na jeshi la polisi mnatosha[/QUOTsirooooo
Were ni sehemu ya Jamii Forum usipoleta habari unasubiria nani alete?Leo ajali kibao tu, ila JF naona wadau wamechuna kutupa updates... Jirani na Kibaha kwa mfano muda huu saa tatu usiku canter na gari dogo zimekulana, source mimi. Kidinilo na Shabiby wamefanya yao pia. Is it JF be the first to know anymore?