Tanesco Bukoba

Tanesco Bukoba

geeeee

Member
Joined
Aug 2, 2018
Posts
8
Reaction score
1
Mwenye taarifa juu ya shirika hili, kwa Bukoba atupe taarifa kama kuna mgao wa umeme au ni kitu gani kinaendelea
 
Nyie amna faida yoyote Kwenye uchumi WA nchi... Ata msipo kua na umeme
blaugrana-20181217-0001.jpeg
 
Kumbe umeme ulishafika Bukoba. Kumbe RHEA mmefikisha umeme hadi vijiji vya uswekeni kabisa
 
Hao jamaa hatari ..mkoa uko mbali toka Tz kila mtu anafanya yake
 
Back
Top Bottom