IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,033
Millard ni moja ya watangazaji vijana maarufu wanaoaminiwa na watu wengi sana wenye heshima zao..
Taarifa muhimu nyingi unazipata kwenye kurasa zake...
Ila cha kushangaza kwa mda sasa huwezi kukuta habari yoyote ya WCB...najiuliza maswali Millard ni mwajiriwa wa clouds media ni kweli na yuko sahihi kutotangaza habari za WCB akiwa kwa mwajiri wake...cz wanabifu na WCB.
Sasa ayotv,IG page,YouTube ac na website ni zake binafsi kwann anaogopa kutoa habari za WCB?
Mbona sam misago anatoa habari za diamond bila kujali bifu iliyopo na EATV?
Mpaka mda huu ninavyoandika pitia IG page,na YouTube Ac ya Millard habari za WCB zinaviews nyingi kuliko habari yoyote ile...
Nakushauri adui arithiwi ...jari ur business..