stella1975
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 870
- 1,252
Mheshimiwa rais mpendwa wa wanyonge naomba nikujulishe kuwa hapa Tanzania kuna sehemu tra wanazembea Sana katika kukusanya mapato
Mkuu wa nchi bila Shaka unajua kuwa Baar zote hapa Tanzania zilipewa leseni Ya kuendesha biashara Ya Baar Lakini wenye mabaar wanafanya biashara nyingne ndani Ya biashara
Mheshimiwa rais wa nchi Baar zimebuni ukumbi yani kwenye Baar kuna biashara za maukumbi zinafanyika utakuta mtu sehemu Ya wateja wa kunywa bia anaigeuza inakuwa ni ukumbi kila week anapiga hela na halmashaur ndio Wateja wa kumbi hizo yani kila Baar sasahivi imegeuza sehemu za Baar kuwa ukumbi wa sherehe za kichnepart. Happbady. Harusi kila Siku utakuta kuna sherehe wanapiga hela Mara mbili Kwa kutumia leseni moja ya biashara Lakini humo humo tra wanaona. Na Halmashaur wanaona basi fanya utafiti ukague hayo maeneo utakutana na sherehe kila Baar njoo huku Dar nenda mbeya nenda Moro nenda Mwanza nenda mtwara nenda kibaha ndio mtindo uliopo sasahivi