Wana Jf wote nawatakia siku kuu njema ya noeli mwaka huu 2018

Oct 10, 2018
38
44
Wana Jf nawatakia maandalizi mema na siku kuu njema pia ya Noeli kwa mwaka huu wa 2018. Lakini wakati tukisheherekea tusisahau na kujifanyia tathimini ya yale tuliyokuwa tumejipangia kuyafanya mwaka huu unaoelekea ukingoni sasa.
Baada ya tathimini kama umeweza kutimiza malengo kwa asilimia mia moja ( 100% ) basi tumshukukuru Mungu kwa hilo na tuweke malengo mapya ya kuanza utekelezaji wake mwaka 2019.
Kwa wale ambao tulikamilisha kwa sehemu basi tuchukulie pia hiyo ni hatua muhimu tumeweza ifikia kwa sehemu na itupe nguvu mpya ya kuingia nayo yaliyosalia mwaka ujao wa 2019 na tuongeze mengine mapya ya kuchangamka nayo mwaka huo 2019.
Kwa ambao hawakuwa wameweka malengo yoyote basi nao wajaribu mwaka 2019 waweze jiwekea malengo waone kama itakuwa na ladha mpya basi waendelee na utaratibu huo.
Kwa wale wanoona mambo ya kuweka malengo hayana msaada wowote basi waendelee kusongesha maisha kwa namna wanatakavyoona itafaa.
Ila wote mliopitia uzi huu na kupata chochote cha kuwasaidia haijalishi ni kidogo kiasi gani nawaombea kheri katika majukumu ya kila siku katika kujenga maisha binafsi,ya familia,ya ukoo,ya wilaya,ya mkoa,ya kitaifa na kimataifa. Pongezi nyingi kwa Maxence Melo & Micke William kwa kutupatia jukwaa hili linalotujenga kutoka ngazi moja kwenda nyingine .

Wasalaam.
 
xmass njema
IMG_0407.JPG
 
Asante na wewe pia
 
Back
Top Bottom