Kwanini Krismas isisherehekewe tarehe 1 ya kila January?

Kwanini Krismas isisherehekewe tarehe 1 ya kila January?

Kategele

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
1,086
Reaction score
2,533
Inasemekana Wataalamu wa kalenda walianza kuhesabu siku na tarehe aliyozaliwa Yesu kristo sasa inakuwaje azaliwe tarehe 25 wakati tulianza kuhesabu siku hiyohiyo ya kuzaliwa kwake?wajuvi wa biblia mkuje huku mtuelimishe
 
Back
Top Bottom