Kanisa Katoliki na tuhuma za UFISADI

Kanisa Katoliki na tuhuma za UFISADI

majebsmafuru

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2017
Posts
463
Reaction score
649
KANISA KATOLIKI. Ni Kanisa kubwa kuliko yote duniani, waumini wasiopunguwa 1.29 bilioni,

Diyosisi 2,851 na Parishi 221,700. Lilianzishwa karne 1.
Hapa kwetu TZ, lilihusika na tuhuma za fedha za Escow kupitia benki yake ya Ukombozi, na tuhuma maaskofu kadhaa kupokea hela za wizi kupitia kwa J Rugemalira..

Nahisi Kanisa letu linatuhumiwa tu, labda sababu ya wivu, labda sababu linasaidia waumini bila kuangalia maovu yao, kwani kupokea pesa toka kwa waumini kuna ubaya gani?! Sio kanisa katoliki lililomtuma muumini aende akaibe au kufanya ufisadi ili alete baadhi ya pesa kanisani.

Je tuhuma hizi zile ukweli wowote au wivu tu?!
Na Kanisa Katoliki ni Kanisa linaloongoza kwenye tuhuma ka hizi duniani? Ebu tuangalie tuhuma mbali mbali duniani..
 
Aisee ila hawa wa hapa Tanzania hatua zimeanza kuchukuliwa, hebu tuwe wavumilivu
 
Mhashamu Baba Askofu Wa Escrow Account (Kilaini)
 
KANISA KATOLIKI. Ni Kanisa kubwa kuliko yote duniani, waumini wasiopunguwa 1.29 bilioni,

Diyosisi 2,851 na Parishi 221,700. Lilianzishwa karne 1.
Hapa kwetu TZ, lilihusika na tuhuma za fedha za Escow kupitia benki yake ya Ukombozi, na tuhuma maaskofu kadhaa kupokea hela za wizi kupitia kwa J Rugemalira..

Nahisi Kanisa letu linatuhumiwa tu, labda sababu ya wivu, labda sababu linasaidia waumini bila kuangalia maovu yao, kwani kupokea pesa toka kwa waumini kuna ubaya gani?! Sio kanisa katoliki lililomtuma muumini aende akaibe au kufanya ufisadi ili alete baadhi ya pesa kanisani.

Je tuhuma hizi zile ukweli wowote au wivu tu?!
Na Kanisa Katoliki ni Kanisa linaloongoza kwenye tuhuma ka hizi duniani? Ebu tuangalie tuhuma mbali mbali duniani..
.
Duh hili kanisa sio tu wezi bali mafisadi hasa kwa maana ya sex abuse.
Gonga hapa!!
Catholic Church sexual abuse cases - Wikipedia Wikipedia, the free encyclopedia › wiki › Catho...
Cases of child sexual abuse by Catholic priests, nuns and ... Many of these involve cases in which a figure was accused of abuse for .... Traditionally, the Roman Catholic Church has held tight control over many ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KANISA KATOLIKI. Ni Kanisa kubwa kuliko yote duniani, waumini wasiopunguwa 1.29 bilioni,

Diyosisi 2,851 na Parishi 221,700. Lilianzishwa karne 1.
Hapa kwetu TZ, lilihusika na tuhuma za fedha za Escow kupitia benki yake ya Ukombozi, na tuhuma maaskofu kadhaa kupokea hela za wizi kupitia kwa J Rugemalira..

Nahisi Kanisa letu linatuhumiwa tu, labda sababu ya wivu, labda sababu linasaidia waumini bila kuangalia maovu yao, kwani kupokea pesa toka kwa waumini kuna ubaya gani?! Sio kanisa katoliki lililomtuma muumini aende akaibe au kufanya ufisadi ili alete baadhi ya pesa kanisani.

Je tuhuma hizi zile ukweli wowote au wivu tu?!
Na Kanisa Katoliki ni Kanisa linaloongoza kwenye tuhuma ka hizi duniani? Ebu tuangalie tuhuma mbali mbali duniani..

Ni lini Kanisa Katoliki lilihusika na Ufisadi Tanzania?
 
Mti wenye matunda...hivi kanisa Katoliki liliwafanya nini...mbona lenyewe haliwaongelei

carnte himself
 
Hapa yule Bibi aliyeenda shule kusomea ujinga lazima apite tuu. Ndio mambo yake haya.
 
Ukiona unazungumzwa sana ujue ni sawa na mti wenye matunda unaopigwa mawe.
 
  • Thanks
Reactions: dtj
hii mada haitopata wachangiaje wengi kwa sababu .......ukiisto hasa ukatoiki ni wakwetu
 
Back
Top Bottom