Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,204
Kama mnavyojua vitu vizuri vizuri vyote ni kazi na miliki ya shetani,
1: pombe
2:Sigara
3😛apuchi
anasa na kila ubaya unaouona ni kazi ya shetani .
Je ukikutana na Shetani leo hii utamwambia nini?
Binafsi nitamwambia kitu kimoja tu aende kwa Mungu akaombe msamaha ili watu tule Raha bila kuwaza kwenda Motoni.