Rais Dkt. John Magufuli amemjulia hali mama yake mzazi Bibi. Suzana Magufuli, anayepatiwa matibabu hospitalini jijini Dar es salaam tangu miezi mitatu iliyopita baada ya kupatwa na ugonjwa wa...
Niande tu kwa kusema mkataba na maagano ni vitu ambavyo ni muhimu sana kuangalia katika maisha kabla hujaingia
Kwa kiswahili sanifu agano ni tokeo la kukubaliana au kuwekeana ahadi au mapatano...
Nanza na salamu Kama jadi yetu, Salam
Nikiensa kwenye tittle moja kwa moja, naona watuamiaji wa WhatsApp ni wengi, nipo kwa ajili ya kukosolewa ikiwa si kweli.
Hawa jamaa kwenye eneo la...
habari wadau
nasikia kwa maelezo ya mh rais.. nssf wamerudisha fao la kujitoa..
wafanyakazi wa nssf mliopo humu, je hii ni kweli?
maana zama hizi bora uchukue chako mapema kabla hawajabadilika...
Leo ntaandika thread ya watu 20 niliojuana nao kupitia Jf na connection nilizojenga. I was not so good at this but slowly I’m learning na pengine kuna mtu atajifunza kupitia mimi [emoji1317].
How...
Vifo vilivyosababishwa na ugaidi vimepungua katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita duniani, tafiti mpya iliyohusisha nchi zote duniani imegundua.
Tafiti ya sita ya kila mwaka juu ya hali ya...
Habari zenu waungwana ! Mod ingawa unasifika kuwa kufuta thread za watu Na kusababisha kujitoa humu wakiicha kampuni inakosa Pesa, lakini hujambo?
Mara nyingi nikipita humu huwa nakuta mabishano...
Tukiwa tunakula,kunywa na kufurahisha shauku/hamu za nafsi zetu wakati huu wa sikukuu tunahitaji kuchukua tahadhari kuhusu athari za usalama wa chakula (food safety) wakati tukinunua na kuandaa...
Ndani ya kipindi kifwupi cha utawara wako, erimu imepolomoka mno.
Zamani turimaliza darsa la saba tukiwa timanu kwerkweli, ila wasomi wa fyuo fikuu sasa hivi wajuacho ni masimu ya kupyatira tu na...
Wadau nadhani maji ndo kila kitu kwa Maisha ya wana wa damu. Maeneo ya Buhongwa hasa Kageye kuna tatizo kubwa la maji yaani kwa mwezi yanatoka dk 10 tu. Cha ajabu bill za mwezi zinatoka tu.
Wadau...
Wakuu kheri ya X-mass na mwaka mpya!.
Tukiwa katika ukingoni kabisa mwa mwaka huu 2018 na tukiwa tumebakiza siku moja tu kuanza mwaka mpya wa 2019,sote tunapaswa kumshukuru Mwenyezi Mungu.
Nakuja...
Kwanza nimpongeze mh rais kwa kupigania Mali za wa waislamu ziliziporwa.
Nakumbuka sheikh ponda alipambana akaishia maabusu lakini yaleyale aliyoyapigani mh ameyaibua.
Na mafanikio yapo amefuta...
Kati ya kuku wote, alikuwepo mmoja mlemavu mguu mmoja, kama haitoshi alidonolewa na wenzake kichwani akabaki na kipara ngoto, kila muda yuko kama atakufa hivyo akakidhi vigezo vya kuchinjwa wakati...
Mwenyekiti Mtendaji Fastjet Tanzania, Lawrence Masha amesema ni kweli shirika hilo lilikuwa na madeni lakini Mamlaka zingeshirikiana naye angehakikisha fedha hizo zinalipwa
Waziri huyo wa zamani...
Kwa mara nyingine tena Rais Mstaafu wa Marekani, Barack Obama ametaja orodha maalumu ya vitabu, filamu na nyimbo ambazo kwa upande wake ameona zimefanya vizuri kwa mwaka 2018.
Ameweka orodha...
Niko sehemu Ubungo nakula maharage na wali wangu.
Namsikiliza pembeni kijana mmoja yuko na dada mmoja sijui kamtoa wapi anamsifia mkewe mchapakazi kweli, amemwacha analinda mashamba Morogoro na...
Napenda mafanikio, napenda kua na mitazamo chanya ya kimaisha, napenda maisha mazuri, napenda utajiri, napenda pesa, napenda kusoma habari za matajiri wengi wa dunia hii Inaweza kua Africa au nje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.