Bruno wa Chita, Morogoro

NALO LITAPITA

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
333
90
Wakuu kheri ya X-mass na mwaka mpya!.
Tukiwa katika ukingoni kabisa mwa mwaka huu 2018 na tukiwa tumebakiza siku moja tu kuanza mwaka mpya wa 2019,sote tunapaswa kumshukuru Mwenyezi Mungu.

Nakuja kwenu nikiwa na ombi moja najua JF ni kubwa.Kuna mzungu mmoja anaitwa Bruno,huyu anamashamba makubwa ya Mpunga na anakiwanda cha kuandaa na kufunga Michele huko maeneo ya Chita.Tafadhali ninahuitaji ya mawasiliano take au ya watendaji wake pale kiwandani,Kwa mwenye nayo anisaidie tafadhali hasa namba za simu.

Niwatakie tena kheri ya mwaka mpya wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom