chikaputula
Member
- Jan 21, 2014
- 28
- 3
Wakuu,hivi kuna ukweli wowote kuwa tabia za mtu husadifu kabila lake?

Wewe kwenu wapi. wahaya wanatabia flani flani zinachefua. wachaga tamaa mbele mauti nyuma. wanyamwezi wavivu. waha wachawi. wafipa wachawi. wabena wapole na wachapa kazi. wakwere wavivu. wangoni walevi na wazinzi. wameru wagonvi. wanyaturu umalaya. wagogo wachafu. wazigua wachawi. wasukuma ndio nawakubali. wahaya misifa na umalaya. warangi wanaongea sana. WAZARAMO utajaza
Aisee...! CONFUSE.mimi ni mnyambo nawajua sana wahaya kwa misifa. mmoja jana kaulizwa na muuza chips..HII CHIPS NA MAYAI NICHANGANYE. mhaya kwa ulimbukeni akajibu CONFUSE . akijua ko confuzi ni kuchanganyikiwa ya chips zichanganywe na mayai
Wewe kwenu wapi. wahaya wanatabia flani flani zinachefua. wachaga tamaa mbele mauti nyuma. wanyamwezi wavivu. waha wachawi. wafipa wachawi. wabena wapole na wachapa kazi. wakwere wavivu. wangoni walevi na wazinzi. wameru wagonvi. wanyaturu umalaya. wagogo wachafu. wazigua wachawi. wasukuma ndio nawakubali. wahaya misifa na umalaya. warangi wanaongea sana. WAZARAMO utajaza
mimi ni mnyambo nawajua sana wahaya kwa misifa. mmoja jana kaulizwa na muuza chips..HII CHIPS NA MAYAI NICHANGANYE. mhaya kwa ulimbukeni akajibu CONFUSE . akijua ko confuzi ni kuchanganyikiwa ya chips zichanganywe na mayai
Wewe kwenu wapi. wahaya wanatabia flani flani zinachefua. wachaga tamaa mbele mauti nyuma. wanyamwezi wavivu. waha wachawi. wafipa wachawi. wabena wapole na wachapa kazi. wakwere wavivu. wangoni walevi na wazinzi. wameru wagonvi. wanyaturu umalaya. wagogo wachafu. wazigua wachawi. wasukuma ndio nawakubali. wahaya misifa na umalaya. warangi wanaongea sana. WAZARAMO utajaza
Siyo wote..."sema Baadhi yao hivi" usiGeneralize!!Dah! kweli bhana wahaya wanaongoza kwa Misifa... yani hata kama hajui, yy atajifanya anajua tu.. na neno lao Actually