Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

niliowatAJA hapo juu mmejitoa sana katika demokrasia ya nchi yetu majina ni mengi ila mungu atawalipa mema hapa duniani sheh sharif hamad Ben rabiu saanane John mnyika zitto zuberi kabwe Freeman...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Daaaaahh Jamani hivi hawa mabinti wanajiita walokole wanaelewa kweli mafundisho au wanakalili,,, Nina mchumba wangu mmoja Lakini kazama kwenye dini hadi anashindwa kubalance muda wakufanya Kazi...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Utasikia mabeberu, mabeberu! Wanaoogopa ni ng'ombe!! Si heri wangemgwaya Punda hoja yao ingekuwa na mashiko.!!!
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuuliza si ujinga na aulizae anataka kujua! Wana JF naomba kuuliza nijuavyo mimi kuna masoko mbali mbali hapa Tz mfano Soko la kariako lipo dsm, soko la Kilombero lipo A town, soko la Mwanjerwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndama anakonda, lakini anakula vizuri, ila kila siku inayoenda anakonda. Anaumwa ugonjwa gani nisaidieni.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mheshimiwa wazir wa NI shati tunaona ukifanya ziara Kila mkoa kufanya ziara hizo tuna amni kwamba upo kazini na watendaji wako was chini wapo kazini lakini Cha ajabu mkoa huu was shinyanga watu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini wakuu Nimekutana na hii repoti ya vizara ya fedha nimejaribu kuipitia ila kutokana na kukosa understanding pana ya uchumi nimeishia kujiuliza maswali na kujijibu kwa kukisia.Report ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Je Makonda anajua uonevu huu katika mkoa wake? Tarehe 29/12/2018 niliondoka na gari la kanisa letu asubuhi nyumbani kwangu Madale kuelekea Mbweni kwa ajili ya kuchukua “lose report” kwa sababu...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Mfalme herode...kwa nini wazazi wengi hawalitumii jina hili kuwaita watoto wao kama ilivyo majina mengine yaliyo katika biblia takatifu mfano mathayo, yuda, yohana , luka , samweli, yoshua, mussa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwenye kutaka rafiki asiye kuwa na Dosari, basi ataishi mpweke daima. Mwenye kutaka Mke au Mume ambaye hana mapungufu, ataishi bila ya kuoa au kuolewa mpaka siku ya kufa kwake. Mwenye kutaka...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Nilipomwona dr shika kwa mara ya kwanza akiwa kwenye mnada nlimwona ni mtu ambaye akili yake haiko sawa. ni mtu ambaye alikuwa na mawazo na ndo nyingi zinamzunguka. ukitizama posture na gestures...
18 Reactions
105 Replies
11K Views
Gari haina shida yeyote ni kuweka mafuta na kuyeya .jipatie ndinga la kwako uepukane na daladala kwa bei ya kutupa 1.6m tena kwa uhakika uje na fundi wako0789630368
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Ikulu ndogo ya wilayani Mbinga mkoani Songea,imevamiwa na watu WASIOFAHAMIKA ambao waliiba KUKU waliokuwa bandani. Wizi huo umetokea baada ya wezi hao kutoboa UKUTA wa banda hilo mbali ya kuwa na...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Hivi ni halali kweli kwa timu moja maarufu ya mitaa Ya Kariakoo kutamani Yanga adondoshe pointi halafu ndiyo eti yenyewe inufaike? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
704 Views
Habarini wakuu,niende moja kwa moja kwenye mada. Binafsi nina miradi kadhaa,Ni takribani miaka miwili sasa,mojawapo ya mradi wangu umekuwa ukijiendesha kwa hasara.. Yaani inafikia kipindi,mapato...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
HATIMA ya hati ya kusafiria ya Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti ya Twaweza, Aidan Eyakuze, bado haijafahamika, baada ya Idara ya Uhamiaji kusisitiza kuwa itaendelea kuishikilia kwa muda...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
mwaka ndo huoo unaisha kwa wale wana jf ambao tumechezea maisha katika kipindi cha 2018 hebu tukutane na kupeana ushuhuudaa tuu..... mimi upande wangu mambo ya mapenzi yamenifanya niuoe mwaka...
0 Reactions
1 Replies
698 Views
Wateja walionunua tiketi wamelalamikia kucheleweshewa malipo yao, baadhi yao wameenda katika ofisi za shirika hilo karibu mara nne kufuatilia lakini hawajalipwa.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Anaitwa Ryan White ni kijana aliye-make headlines sana kwenye vyombo vya habari miaka ya 1980s baada ya picha yake kuwekwa kwenye jarida la kuombea msaada la watoto wenye maambukizi ya virusi vya...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Back
Top Bottom