Serikali imesema ni maduka 109 nchini ya kubadilisha fedha ndiyo yaliyokidhi vigezo vya sheria mpya kwa biashara hiyo.
Waziri wa Fedha na Mipango, DK Philip Mpango ametoa kauli hiyo leo Jumapili...
Mzuqa wanaJF
Kiribati ambayo hapo mbeleni ilikuwa ikijulikana ka Gilbert Island ni kisiwa nchi pacific chenye visiwa 33 inayojenga nchi ya Kiribati. Ina wakazi laki moja nusu yao wakiishi mji...
Mimi ni mwanachama wa mfuko husika hapo juu. Swali langu naweza pewa taarifa ya pesa zetu zoote sisi kama wanachama? Pia kujua tunazitumia vp kwenye miradi na kama kuna watu au taasisi...
Waamuzi 9:8-15
[8]Siku moja miti ilitoka ili kuutia mmoja mafuta uwe mfalme juu yao; ikauambia mti mzeituni, Tawala wewe juu yetu.
[9]Lakini huo mzeituni ukaiambia, Je! Niache mafuta yangu...
Mkenya Davis Ngoo na baba yake Antony mragha ngoo ni wakenya wanaotumiwa na tajiri jonhson Muzama ambaye ni mbunge wa kenya na mfanyabiasha mkubwa wa madini ya green na Tanzanite kumiliki migodi...
Wakuu nyie kwa maoni yenu mnaonaje kuhusu hili.
Kwa upande wa wabunge hasa wale wengi bungeni karibia wote wameaibika baraaa. Huku mitaani hawana jipya, wanatembea kwa kujificha ficha...
Ndugu Yangu Evaristi Chahali,
Ni kijana n:nayemsoma sana kule instagram naheshimu baadhi ya maandiko yake,(lakini sio ya yale yanayohusu mtazamo wa Nchi,sera za Nchi na Uzalendo).
Kijana...
Habari ya mda huu wanajanvi! Kama mada inavyo jielezahapo juu, ni kwa mda sasa nimekumbwa na tatizo la kuto weza kufungua threads zinazofuatia katika peji za jamii forum.Naomba msaada wa namna ya...
Nina deni la milioni moja na nusu niliyokopa kwa ajili ya kufanya biasha,pesa hiyo nimepata hasara na sijui pakuitoa. Aliyenikopesha anadai kwa nguvu zote,amesema ikifika januari 5 tunaenda...
Hali ni tete wakulima, washazikusanya zipo maghalani mpaka leo kimya mwaka jana mpaka kufikia mwezi wa kumi na moja mwishoni almost watu wengi walikuwa wamelipwa
Sasa tunaikaribia Januari lakini...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kumuuliza Mtukufu Mfalme wa Morrocco kuhusu ahadi aliyotoa huko nyuma mwaka 2018 unakwisha sijaona maendeleo yoyote ya ujenzi wa uwanja zaidi ya kibao...
Leo nimebahatika kupitia magazeti ya Mwananchi,Nipashe....
Mosi nilitegemea habari ya kikokoto kuandikwa katika hali ya uchambuzi wa kina na kuonyesha nani alifanya nini katika suala zina la...
Nimekuwa najiuliza zamani tulizoea kuambiwa Wasanii ni kioo cha jamii kwa matendo yao bora na mema ya kuelimisha jamii mpaka ikapelekea watu kuwatumia wasanii kama njia ya kupeleka ujumbe.Kutokana...
Kuanzia Léo mpaka mwaka 2020 nitaweka uzi huu bila kutaja jina la mtu ila kila anayejiona ni mzalendo kwa taifa kipimo kiwe ni random 38 billets towards Him !!!
Kwa wapenzi wa filamu za Hollywood watakuwa wanawafahamu hawa manguli wawili ambao wamekuwa wakituburudisha kwa miaka mingi sana.
Al Paccino na Robert De Niro watatokea tena pamoja kwenye filamu...
Hizi picha zimepigwa katika kasino maarufu nchini Saud Arabia
Unaona tofauti ya maadili kati ya ubengiji wa bongo na wanavyobengi wao,
Hakuna pombe hakuna wanawake
Ilikua siku ya alhamis yapata majira ya saa 4 za usiku wakati nimejipumzisha nyumbani baada ya mizunguko mingi ya kutafuta riziki, ndipo nilipopokea simu kutoka kwa jamaa yangu na ndugu wa karibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.