Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,524
- 5,785
Napenda mafanikio, napenda kua na mitazamo chanya ya kimaisha, napenda maisha mazuri, napenda utajiri, napenda pesa, napenda kusoma habari za matajiri wengi wa dunia hii Inaweza kua Africa au nje ya Africa..nikisema tajiri namanisha tajiri anyefanya biashara Fulani, tajiri anayefanya mziki, n.k.. hua nikisikilizaga story zao hua lazima kuna mahali kama panakuaga panarukwa hivi lakin baada ya kujipa nadhari kwamba lazima hio sehem inayorukwaga niijue hatimae nlipoingia chimbo na kutafuta kwa kina kupelekea hata kusafiri nje ya nchi na kupitia maonyo kadha wa kadha hatimaye nimeijua Siri hii
Kama ambavyo na mimi ningependa kupita hapo ila changamoto ipo ambayo naitaji mtu ambaye hela haimpi stress sana na ambaye anatamani kufanikiwa zaidi na zaidi either katika biashara au chochote tu basi ni share naye hii "classified information" tuweze kuona tunasaidiana vipi. Ni hayo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app