Tatizo katika utumiaji wa jamii forum.

Raphael phockus

JF-Expert Member
Nov 4, 2018
778
4,518
Habari ya mda huu wanajanvi! Kama mada inavyo jielezahapo juu, ni kwa mda sasa nimekumbwa na tatizo la kuto weza kufungua threads zinazofuatia katika peji za jamii forum.Naomba msaada wa namna ya kuondokana na changamoto hiyo.


Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom