wanaume wa DSM tubata TABUU Sanaa

wanaume wa DSM tubata TABUU Sanaa

Salaam ndugu zanguni habarini za mapumziko ya sikukuu ya Xmas !! Jioni nimeamua kuandika UZI huu ili kuleta ZOGO hapa JF. ktk pita pita zangu hapa mjini DSM huwa napishana na wadada wengi warembo mnoo kwa rangi zao asili weupe na weusi LKN kuna kitu nime ki NOTE sasa iv asimilia kubwa ya wadada hapa DSM sehemu zao za makalio zimejaaziaaa mnoo yaan ni vigumu kujua mwenye asili (natural) au cha mchina lkn ni wazi uwepo wavipodozi vinavyoongeza maumbile yamechangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la idadi kubwa ya wadada wenye makalio makubwa na hips {shepu namba 8) na ongezeko ilo lina chochewa na au linapelekea wanaume wengi kupenda wanawake wenye makalio makubwaa
uzi wako unatufundisha nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio kila uzi kipo cha kujifunza bali kupata habari pia ni swala ZURI hivyo bac tuliiia upate ripoti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom