Mwaka unaisha Mtukufu Mfalme wa Morroco ahadi ya kikazi wa uwanja wetu wa Dodoma mbona hautekelezi

Boligado

Member
Jan 10, 2012
44
49
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kumuuliza Mtukufu Mfalme wa Morrocco kuhusu ahadi aliyotoa huko nyuma mwaka 2018 unakwisha sijaona maendeleo yoyote ya ujenzi wa uwanja zaidi ya kibao cha kutambulisha uwanja kulikoni?? Mwenye taarifa katika hili atujuze
20181230_174207.jpg
 
Na msitu unaanza kustawi taratibu, wakipita hapo na misafara yao wanageuza shingo upande mwingine
 
Bahati ni kuwa "mawe" ya kujengea huo uwanja ni lazima yapitie kwa aliyekula rambirambi, na pesa za coro-show!
 
Bitozi wa Morocco yeye alichokitaka ni kuungwa mkono kwa adhma yake ya kuendelea KUWAKANDAMIZA WATU WA SARAWAH na kuungwa mkono kurudishwa AU.

Alishavipata, anataka nini tena. Hela ya kuwajengea UWANJA haiko kwenye BUDGET yake hata yeye anabana MATUMIZI.
 
Tulipigwa mkataba wa ulaghai. Mangungo atakuwa anasema "mimi nilikuwa sijasoma"
 
Back
Top Bottom