Mh Rais na watumishi wa umma ndio watu wenye akili sana kuliko hata wabunge .

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,199
1,346
Wakuu nyie kwa maoni yenu mnaonaje kuhusu hili.


Kwa upande wa wabunge hasa wale wengi bungeni karibia wote wameaibika baraaa. Huku mitaani hawana jipya, wanatembea kwa kujificha ficha.


Watumishi wa umma wanatembea kwa kusonya kuhusiana na kitendo wabunge wao walichowafanyia.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom