Masinki Nyansarari
Senior Member
- Nov 24, 2018
- 142
- 98
Ndugu Yangu Evaristi Chahali,
Ni kijana n:nayemsoma sana kule instagram naheshimu baadhi ya maandiko yake,(lakini sio ya yale yanayohusu mtazamo wa Nchi,sera za Nchi na Uzalendo).
Kijana huyu anadai kwamba alikuwa Afisa Usalama Wa Taifa hapa Nchini kabla ya kuacha(kulingana na maelezo yake).anyway mimi ni Mwalimu kwa Taaluma nikimtazama Chahali na kumsoma katika mada zake mbalimbali huwa nabaki kucheka tu.
Kwanini?ni sababu naona ana tatizo la kufikiri ama amejawa na hofu,uwoga,kujipendekeza,ama anazeeka vibaya.
Moja ya mada alizotoa ni kuhusiana na inshu nzima ya wamarekani kutoa tahadhari kwa raia wake wanaokuja Tanzania,Chahali anashindwa kuelewa kwamba yote yaliyoorodheshwa na wamarekani ni Propaganda na Uzandiki pia kwa sababu hayapo Hapa Nchi.
Mosi inshu ya ugaidi kwanza kabisa hakuna kitu kama hicho na wala Nchi yetu haijafikia kuwa huko,kwenye high Season nilibahatika kufika mbuga ya Serengeti esp Nabi gate,nilijionea jinsi wazungu walivyo na amani ya kutosha wasivyo na hofu anikajisemea moyoni kweli Nchi yetu ni Salama vya kutosha,hebu jar;bu kufikiri kweli kungekuwa na ugaidi wale wazungu wangemiminika vile kuja kutalii?
Inshu ya wapenzi wa jinsia moja raia wa marekani kukamatwa iwapo tu watafika Nchini,hahahahaha kwanza inachekesha sana hatuna utaratibu wa kuwapangia wageni wetu privacy zao ili mradi wasivunje sheria za Nch yetu basi na hakuna mahali popote serikali ya Tanzania ilipotangaza kuwakamata wapenzi wa jinsia moja(naomba ieleweke hivyo)utashi wa mtu mmoja sio agizo la serikali,hivyo hii nayo ni propaganda mfilisi ya wamarekani uchwara.
Hivi mnakumbuka barua za wabunge wa ulaya? misaada? yote haya ni sababu ya kutaka kutugombanisha kama Taifa na watu wachache wakina Chahali kuwashabikia bila kuelewa kiini haswa cha uzandiki huu!!
Kuna mada nyingine aliyotoa Chahali wa usalama wa Taifa(omg)kwamba Mh Magufuli anapangiwa njama za kuuwawa na watu wa usalama hii mada huyu jamaa nilimfananisha na Mambe kimambe kwa sababu wote wana hulka sawa ya kuichukia Nchi yao kasoro zao ni kwenye matusi tu na show off,mmmmh hivi kweli jambo kama hili mtu yupo Grasgow Scotland alipate watu walioTanzania wasilipate au ni yale yale ya kimambe kudai Rais analindwa na wanyarwanda?
Nakushauri tu bro Evarist rudia kusoma ama kureview topic ya uzalendo na uelewe undani wa Propaganda ndio uendelee kutimiza u agent wako kwa wazungu¡!!¡
Masinki,