Wote wapo kwa kuangalia wanamfurahisha mteuzi wao na wala siyo kwa maslahi ya mkulimaNipo naangalia danadana zinazofanywa na serikali huko Mtwara na Lindi kuhusu ununuzi wa korosho, huu Sio wakati wa sanaa Sanaa maana 2019 tuna uchaguzi na kilio Cha wananchi kinaweza kuwa kwenye sanduku la kura.
RC na ma DC pamoja na viongoz wengine someni halama za nyakati la sivyo mtanyolewa vichwa. Waziri mkuu anawaangalia TU kwa mbaali ila ipo siku utasikia mmetamkwa adharani kwamba mmekwamisha zoezi.
Hawa jamaa wanaowashauri chini chini si watu wazuri na wanaunafki flani maana likibumburuka wao hawatotajwa popote kwamba wametumbuliwa Bali watabadilishiwa TU vituo.
Nadhan mmenisoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya watu kupiga kelele kutokana na tatizo la kikokotoo kipya, tuliona kikisitishwa mara moja tena live. Kwenye korosho nako watu wanalalamika, kero ni nyingi za zoezi la uhakiki. Je huko nako tutegemee kupata miuijiza kama ya kikokotoo?
K wen ye madin Asha haribuu biasharaYani Jiwe kila sehem akiingia kwa mabavu lazima aharibu. Meli ya samaki ya wachina, kivuko kibovu, issue ya sukari, makinikia, mbaazi na sasa koroshow ndio ameamua kuwaliza kabisa Watu wa kusini.
Sisi tutaendelea kuandamana na kuunga juhudi zetu hasa sisi wanyonge
Mimi/sisi tulishasomeshwa # muda tu wenzetu wakatucheka naona na waooo sasa zamu yaoSisi tutaendelea kuandamana na kuunga juhudi zetu hasa sisi wanyonge
Sent using Jamii Forums mobile app