donniebrasco
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 887
- 775
Kwa wapenzi wa filamu za Hollywood watakuwa wanawafahamu hawa manguli wawili ambao wamekuwa wakituburudisha kwa miaka mingi sana.
Al Paccino na Robert De Niro watatokea tena pamoja kwenye filamu ya Martin Scorsese inayoitwa The Irishman itakayotoka 2019
Waliwahi kutokea kwenye filamu ya Godfather II lakini sio kwa pamoja kwenye screen (Al pacino aliigiza kama Michael Corleone,mtoto wa Godfather na De Niro aliigiza kama Godfather mwenyewe wakati wa ujana kabla Michael hajazaliwa)
Baadae wakaja kutokea pamoja kwenye Heat na Righteous Kill.
Na mwakani tena watatokea pamoja kwenye The Irishman.