Heri ya mwaka mpya wapendwa

wiseman734

Senior Member
Apr 29, 2018
137
210
Wakubwa naomba niwakumbushe kuwa, mshahara tuliochukua mwezi Dec 2018 ndio unatakiwa utufikishe 25 January 2019. Hapa kati kati hakuna mshahara mwingine bali kuna watoto kwenda shule, Ada, sare, pocket money!

Heri ya mwaka mpya wapendwa!
 
Back
Top Bottom