Naomba kujua nauli ya Dodoma - Arusha kwa basi

Naomba kujua nauli ya Dodoma - Arusha kwa basi

Pweza Boy

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2017
Posts
1,397
Reaction score
3,185
ndugu wana jamvi, naomba kujua nauli ya Dodoma~Arusha kwa usafiri wa basi ni bei gani?????

ahsante.
 
ndugu wana jamvi, naomba kujua nauli ya Dodoma~Arusha kwa usafiri wa basi ni bei gani?????

ahsante.
Samahani ndugu. Hivi kutoka ulipo hadi stendi ya mabasi husika ni umbali kiasi gani ili ukaulize weye mwenyewe? Sina nia mbaya. Nataka ukajiridhishe weye mwenyewe
 
Samahani ndugu. Hivi kutoka ulipo hadi stendi ya mabasi husika ni umbali kiasi gani ili ukaulize weye mwenyewe? Sina nia mbaya. Nataka ukajiridhishe weye mwenyewe
siko dodoma. ila nampango wa kwenda huko kupitia dodoma so nataka kujua bei tuu nijipange. hii inawahusu hasa wale waliowahi tumia hii route
 
Najua kuna Dodoma kupitia Singida na sasa kupitia Ile njia yababati. Sjaye atusaidia kujua zote. Nipo Songea napanga SKU nikiwa Dom nami nifike huko, kuna mademu Waziri sana. Nishafika huko 2013 kupitia Tanga
 
Kama hii [emoji115] nauli ni kweli, ni kubwa kuliko kutoka Dar-Dom,

Gari kama ABC nauli ni 20,000-22,000/= kutoka Dar to Dom
Sina uhakika kwa sasa Ila miezi kama mitatu iliyopita nilisafiri na Upendo bus, Toka Dom hadi Moshi nauli nililipa 25,000/=
 
Kati ya Dar-Dodoma na Dodoma-Arusha kupitia Kondoa, Babati. Wapi ni mbali?

NB: Nina uzoefu wa Dar-Dodoma tu
Dar- Dodoma kupitia Morogoro na Dom - Arusha kupitia kondoa. Nahisi kama Dar - Dom ni mbali zaidi.
Ukitoka Arusha saa moja asubuhi basi saa 7 kamili mchana utakuwa Umefika Dom.
 
Back
Top Bottom