23:59 Tar 31/Dec ndio ulikuwa muda muafaka wa kuiwasha bangi, 00:00 Januari Mosi ndipo msokoto tunauweka mdomoni tayari kwa kuupokea mwaka.

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,938
Hi gentlemen & ladies!
Nakumbuka mbali sana miaka hiyo tulikuwa tunaupokea mwaka kwa style ya ajabu ya kuvuta bangi.
Tulikuwa tunasherehekea kwa muziki pale kijijini kwetu na ilipofika saa tano na dakika hamsini tunaanza kusokota mabangi, sita kasoro moja inawashwa na saa sita kamili tunapakia mzigo.
Ila nishaacha zamani kuvuta bangi, zilikuwa zama za ujinga.
 
Back
Top Bottom