Naomba kufahamishwa historia ya Mv Liemba

Jocasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2014
Posts
475
Reaction score
603
Mwenye kujua historia ya meli kongwe Mv Liemba naomba anijuze nasikia tu kuwa ilipinduliwa na wakoloni baada ya kuzidiwa vita, naomba kujua ilikuaje, na kwa sasa iko wapi na hali yake ikoje!!!
 
Bado inafanya kazi ziwa Tanganyika. Wajerumani wanaitaka sana meli yao kutakuwa na kitu cha maana au for technological purposes

Sent using Jamii Forums mobile app
wanaihitaji wakaiweke makumbusho,yasemekaa hii ndio meli vita yao pekee iliyoundwa enzi za ukolon ambayo bado ipo hai(ilitengenezwa kma meli vita ila ikaja kufanyiwa mabadiliko ikawa ya kiraia)..hata mimi natamani sana kuijua historia yahii meli kiundan zaid hivyo tungoje wenye kuifaham zaid...
 
Hii meli nimeionaa Kkoo wamepanda mabeberuuu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanaihitaji wakaiweke makumbusho,yasemekaa hii ndio meli vita yao pekee iliyoundwa enzi za ukolon ambayo bado ipo hai(ilitengenezwa kma meli vita ila ikaja kufanyiwa mabadiliko ikawa ya kiraia)..hata mimi natamani sana kuijua historia yahii meli kiundan zaid hivyo tungoje wenye kuifaham zaid...
Tusubiri waje mkuu
 
Mwenye kujua historia ya meli kongwe Mv Liemba naomba anijuze nasikia tu kuwa ilipinduliwa na wakoloni baada ya kuzidiwa vita, naomba kujua ilikuaje, na kwa sasa iko wapi na hali yake ikoje!!!
Hii ni moja ya tunu au kwa maneno mengine malikale tuliyoirithi kutoka kwa mtawala wa koloni la mjerumani Tanganyika. Historia yake inafahamika sana ujeremani hasa ukibahatika kupata simulizi kutoka kwa wazee wa kijerumani waliowahi kukaa Afrika. Ile chanel ya TBC inayotangaza vivutio vya kitalii ingeelekeza nguvu zake huko badala ya kuangalia kaskazini tu.

Hii hapa historia ya MV Liemba > https://ndolebaylodge.worldpress.com/2017/08/25/the-history-of-the-mv-liemba
 
Ahsante Sana kwa hiyo source mkuu, ngoja nipitie
 
Back
Top Bottom