Kuna dalili zote Africa watu wake wote watakuwa weupo na ulaya watakuwa weusi alafu then watu watazamia kutoka ulaya kuja africa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi ujisahau na kulewa Madaraka yapitayo.Ukijifunza histori utoanguka.Kesho mtakuwa senior citizen japo leo ni miungu watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenu wakuu Great thinkers:
Kwanza niwatakieni afya njema,amani,kheri,mafanikio na barka za mwaka mpya. Pili ningependa kuzungumzia mafanikio na dosari nilizoziona kutokana na mada na hoja zetu...
Kwa mujibu wa katiba, rais wa Kongo anaweza kuserve term mbili baada ya hapo akakaa benchi akaingia rais mwingine ila uchaguzi utakaofuatia anaruhusiwa kurudi kwenye uchaguzi,yaani ni kama Russia...
Luka 3:14
14 Na baadhi ya askari wakamwuliza, “Na sisi je, tufanye nini?” Akawajibu: “Msichukue fedha za watu kwa kutumia nguvu; msiwashtaki watu kwa kuwasingizia makosa; bali mtosheke na misha...
Wadau hali ya wakulima wa korosho ni mbaya sana tofauti kabisa na inavyoripotiwa ktk vyombo vya Habari...
Katika Kijiji chenye watu mia sita wanalipwa watu nane au watu kumi na tatu kisha...
Habari za mwaka mpya wanaJF!
Awali ya yote nimpongeze Rais Magufuli kwa uchapakazi wake uliotukuka na kuwa Rais wa Mfano Afrika. Pia Rais wetu amekua mstari wa kupambana na rushwa katika taifa...
Tokea kuingia madarakani Novembe 2015, Serikali ya awamu ya Tano chini ya Rais John Pombe Magufuli imejikita katika utatuzi wa changamoto mbali mbali zilizokuwa zikiikabili tasnia ya uzalishaji na...
Wakuu Habari!
Siku zote nimejitahidi kuwa smart na kuepuka kujihusisha ama kufikishwa police kwa kosa lolote.
Mwezi uliopita nikiwa matembezi huko Tanga kuna kijana aliniuzia simu akidai kuwa...
Ndg wana jamvi,kwanza nianze kwa utambulisho kwamba jina "Wandundu " nimeliasisi mimi. Sasa twende kwenye mada
Nchini Tanzania kuna makabila zaidi ya 120. Na kiuhalisia kabila ni kundi la...
Nimesikia baadhi ya wadau wakilalamikia swala la mabenki kuzuia pesa zilizotumwa kwa wateja kwa kisingizio cha Benki Kuu. Kuna jamaa alikuwa analalamika ya kuwa alilipwa kutoka Stanbic kwenda Exim...
Haya watumishi wenzangu wa umma.
Nimeona Mshahara wangu wa December 2018 pesa iliyowekwa according to NMB SMS ni pungufu ya TSH 30,000/=. Kuna mtumishi mwenzetu pia amatumiwa SMS yanye pungufu ya...
Ni nani aliua familia ya McStay
Mwezi wa 2 mwaka 2010 familia ya watu wa 4 inapotea kwa njia ya kustaajabisha na kuacha nyumba waliyokuwa wakiishi huko Santiago ikiwa na kila kitu chao.
Katika...
Katika kipindi cha wiki moja wanawake wajawazito zaidi ya wanne ninaowajua wamepoteza maisha kwa mtindo unaofanana walipokwenda kujifungua ktk hospitali ya Wilaya tunduru mkoani Ruvuma.
Mwingine...
Mwaka 2019[emoji116][emoji116]
Mathayo 5;27-29 Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini;
[28] Lakini mimi nawaambia,kila mtu amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
[29]...
Niende direct kwenye mada.
Napenda kuwakumbusha wanaCCM wale ambao kila kitu akifanya Magufuli hukishangilia hata bila ya kufanya tathmini ya kujua faida na hasara za jambo husika.
Magufuli...
Habari za usiku, naombeni mwenye biblia kubwa (Hard copy ) anisaidie kama msaada nijifunze neno la mungu, nimeamua kwa moyo mmoja kuanza kujifunza neno la mungu
Mwenye nayo anisaidie napitia...