Tahadhari: Usinunue Simu/Laptop kwa Mtu.

Kayoka

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Posts
2,409
Reaction score
2,284
Wakuu Habari!

Siku zote nimejitahidi kuwa smart na kuepuka kujihusisha ama kufikishwa police kwa kosa lolote.
Mwezi uliopita nikiwa matembezi huko Tanga kuna kijana aliniuzia simu akidai kuwa ana shida sana ya hela, ilikuwa Tecno Common X kwa Tsh 200K nikaja Singida na kuanza kuitumia as a back up phone.

Kumbe ile simu iliibiwa huko na police walianza kuifuatilia hamadani nikanaswa nayo mimi, niliwekwa mahabusu kwa masaa kadhaa kisha nikapewa dhamana.
Police wakasema napaswa kupelekwa Tanga kwa escort nikiwa kama mwizi/jambazi niliyekamatwa na mali ya wizi.
Lakini nikawaomba wanisaidie na nizungumze na huyo aliyeibiwa.
Mwisho yakaisha ila zilinitoka pesa nyingi mara 4 zaidi ya pesa niliyonunua ile simu.

Wandugu: Tuepuke vitu vya rahisi vina gharama yake.
 
Daah hii kitu juz juz hapa home imemkuta jamaa wangu.. Alinunua Samsung kibaha Kaja kanaswa nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili kosa sijui kama kuna siku nitakuja kulifanya.

Kuna mshikaji alinunua iPAD Apple kwa msela, kwa laki nne akaona amekula kumbe kaliwa,...

Baada ya mwezi mmoja alifuatwa na gari la polisi, akaelezwa kuwa hiyo iPad iliibiwa nyumbani na hapakuwepo na mtu wakati tukio linafanyika, pia paliibiwa vitu vingine vyenye thamani zaidi ya 30m.

Alikaa mahabusu wiki nzima, brother yake alimlilia sana mlalamikaji at the end alitoa 4.5m yakaisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu matangazo yote ya TCRA hukusikia wala kuyaona? una bahati wizi haukuambatana na murder case.

Ahsante Mkuu!
Yaani sijui niliwezaje kuingia ule mkenge.
 
Hili kosa sijui kama kuna siku nitakuja kulifanya.

Kuna mshikaji alinunua iPAD Apple kwa msela, kwa laki nne akaona amekula kumbe kaliwa,...

Baada ya mwezi mmoja alifuatwa na gari la polisi, akaelezwa kuwa hiyo iPad iliibiwa nyumbani na hapakuwepo na mtu wakati tukio linafanyika, pia paliibiwa vitu vingine vyenye thamani zaidi ya 30m.

Alikaa mahabusu wiki nzima, brother yake alimlilia sana mlalamikaji at the end alitoa 4.5m yakaisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana...

Vya mkononi ni hatari sana...

Labda kama ni kutoka kwa mtu unayemtambua...

Cc: mahondaw
 
ni hatari sana lakini kibongo bongo nunua tuu mkuu ila hakikisha anaye kuuzia unabaki na kopi ya kitambukisho cha ke cha upigia kura aua leseni
 
Hili kosa sijui kama kuna siku nitakuja kulifanya.

Kuna mshikaji alinunua iPAD Apple kwa msela, kwa laki nne akaona amekula kumbe kaliwa,...

Baada ya mwezi mmoja alifuatwa na gari la polisi, akaelezwa kuwa hiyo iPad iliibiwa nyumbani na hapakuwepo na mtu wakati tukio linafanyika, pia paliibiwa vitu vingine vyenye thamani zaidi ya 30m.

Alikaa mahabusu wiki nzima, brother yake alimlilia sana mlalamikaji at the end alitoa 4.5m yakaisha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani bahati ilioje nikaambiwa hakuna murder yoyote wakati inachukuliwa ila mwenye mali akasema aliibiwa simu na hela kama laki 8. Pengine wananchi wengi kama mimi hatujui madhara ya kununua vitu kama hivi, naomba tupeane elimu humu na kukumbushana.
 
Wakuu Habari!

Siku zote nimejitahidi kuwa smart na kuepuka kujihusisha ama kufikishwa police kwa kosa lolote.
Mwezi uliopita nikiwa matembezi huko Tanga kuna kijana aliniuzia simu akidai kuwa ana shida sana ya hela, ilikuwa Tecno Common X kwa Tsh 200K nikaja Singida na kuanza kuitumia as a back up phone.

Kumbe ile simu iliibiwa huko na police walianza kuifuatilia hamadani nikanaswa nayo mimi, niliwekwa mahabusu kwa masaa kadhaa kisha nikapewa dhamana.
Police wakasema napaswa kupelekwa Tanga kwa escort nikiwa kama mwizi/jambazi niliyekamatwa na mali ya wizi.
Lakini nikawaomba wanisaidie na nizungumze na huyo aliyeibiwa.
Mwisho yakaisha ila zilinitoka pesa nyingi mara 4 zaidi ya pesa niliyonunua ile simu.

Wandugu: Tuepuke vitu vya rahisi vina gharama yake.
Tunaonunua mikononi simu /computer /pc /tablet & king'amzi tunajua kama ni hatari sana tunataka urahisi wa kuokoa gharama ila wengine hujikuta pabaya.. Ni kuomba Mungu tu ukinunua ya wizi mwenyewe akikukomalia kuitafuta kitu. Chake ujue huna chako.. Mi pia kuna demunkashakamatwa na askari dukani kwangu kumbe alinunua kwa mtu ila yy. Aliwapeleka kwa aliemuuzia yakaisha wakabaki na aliemuuzia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
How did they track you!?? Wanatumia mbinu gani kukudaka..
 
Hili kosa sijui kama kuna siku nitakuja kulifanya.

Kuna mshikaji alinunua iPAD Apple kwa msela, kwa laki nne akaona amekula kumbe kaliwa,...

Baada ya mwezi mmoja alifuatwa na gari la polisi, akaelezwa kuwa hiyo iPad iliibiwa nyumbani na hapakuwepo na mtu wakati tukio linafanyika, pia paliibiwa vitu vingine vyenye thamani zaidi ya 30m.

Alikaa mahabusu wiki nzima, brother yake alimlilia sana mlalamikaji at the end alitoa 4.5m yakaisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wengine sio waaminifu ukipata msala wa hivi unaweza ukabambikiwa vitu vingi tu na ikala kwako

Sent from my SM using Tapatalk
 
Pole sana...

Vya mkononi ni hatari sana...

Labda kama ni kutoka kwa mtu unayemtambua...

Cc: mahondaw
Yaani ukinunua kitu kwa mtu inabidi upaki na. Copy ya kitambulisho chake iwe cha kura au taifa au lesen pia. Uwe unajua anapopatikana ili zikibuma. Tu unamfuata na kuwapeleka hao. Maaskar yanaisha bila hivo ujue msala ni. Wako. Sasa kama na mauaji yalitokea wakati hicho kifaa chako kinaibiwa hapo ujue mada kesi inakuhusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom