Mshahara wa mwezi wa Desemba 2018 umekatwa Tshs 30,000/-

Laki mbili na 80 lakini imekuja laki mbili na 50
Duuh laki mbili ni mshahara wa mwezi au? Na bado umekomaa tu kuajiriwa serikalini, mi hata kwa laki 5 kwa mwezi huniajiri ntaweka nya ya na vitunguu gengeni ntauza, laki mbili sio inaishia kwenye mafuta ya gari jamani, kweli hii ni serikali ya wanyonge, na bado u aipigia kura ccm na na watumishi huwa mnasimamia kura za ccm kweli kwa huvu zenu zote

Anyway pole mkuu sina maana ya kukukwaza ila nimejikuta nashangaa
 
Haya watumishi wenzangu wa umma.
Nimeona Mshahara wangu wa December 2018 pesa iliyowekwa according to NMB SMS ni pungufu ya TSH 30,000/=. Kuna mtumishi mwenzetu pia amatumiwa SMS yanye pungufu ya TSH 30,000/=.
Kuna mtu mwenye ufafanuzi hapo?
Kwani mishahara imetoka?
 
Nyie wafanyakazi wa serikalini wengi ndio mnaoponda tukisema mtaani maisha tight.....Leo hata mwezi haujapinduka ndio kwanza tarehe 20 mnalilia kuulizia kama umetoka,sasa wewe mwenye mshahara nanga inapaa fikiria mtu ambaye hana ajira au anayo ya kuunga unga isiyo rasmi anakuwa kwenye hali gani?
 
Duuh laki mbili ni mshahara wa mwezi au? Na bado umekomaa tu kuajiriwa serikalini, mi hata kwa laki 5 kwa mwezi huniajiri ntaweka nya ya na vitunguu gengeni ntauza, laki mbili sio inaishia kwenye mafuta ya gari jamani, kweli hii ni serikali ya wanyonge, na bado u aipigia kura ccm na na watumishi huwa mnasimamia kura za ccm kweli kwa huvu zenu zote

Anyway pole mkuu sina maana ya kukukwaza ila nimejikuta nashangaa
Wote tukiwa na magenge kazi za kuajiriwa atafanya nani?
 
Haya watumishi wenzangu wa umma.
Nimeona Mshahara wangu wa December 2018 pesa iliyowekwa according to NMB SMS ni pungufu ya TSH 30,000/=. Kuna mtumishi mwenzetu pia amatumiwa SMS yanye pungufu ya TSH 30,000/=.
Kuna mtu mwenye ufafanuzi hapo?
Hupo sector gani mkuu
 
Back
Top Bottom