Kiwango cha mwisho cha kuhifadhi na kutuma M Pesa

Kiwango cha mwisho cha kuhifadhi na kutuma M Pesa

itakiamo

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,090
Reaction score
1,905
Naomba kujua kiasi cha juu (maximum) kuhifadhi na kutuma pesa kwa Mpesa na Tigopesa pia
 
Kama unataka kuweka pesa nyingi nunua laini ya wakala baaasi. Unaweza weka hata m20
 
Kutuma mwisho milion moja kwa siku..unnasubiri baada ya masaa6 unatuma tena.
Kama hutaki usumbufu unawaona wahusiku kuna namna wanafanya laini inakuwa na uwezo wa kutuma pesa nyingi kwa mara moja
 
Back
Top Bottom