Ujumbe kwa Wanaume kwa mwaka huu 2019

Ujumbe kwa Wanaume kwa mwaka huu 2019

Winner Magele

Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
86
Reaction score
49
Mwaka 2019[emoji116][emoji116]
Mathayo 5;27-29 Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini;

[28] Lakini mimi nawaambia,kila mtu amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.

[29] Jicho lako la kuume likikukosesha, lingoe ulitupe mbali nawe; Kwa maana yafaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehanamu.

Mwanaume,sio maneno yangu ni maneno ya Yesu, nami nime nukuu, sasa wee endelea kusema yahee umeona neema za alah,uku moyoni una zini kidogo kidogo kumbuka kuna jehanamu pia,wewe chukulia poa tu hata kama nyumba ni choo Mungu akubariki mwaka 2019 ukawe mwaka wa baraka kwako barikiwa @pastorwinner @magelewinner_tz
IMG_20190102_120204_198.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2019[emoji116][emoji116]
Mathayo 5;27-29 Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini;

[28] Lakini mimi nawaambia,kila mtu amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.

[29] Jicho lako la kuume likikukosesha, lingoe ulitupe mbali nawe; Kwa maana yafaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehanamu.

Mwanaume,sio maneno yangu ni maneno ya Yesu, nami nime nukuu, sasa wee endelea kusema yahee umeona neema za alah,uku moyoni una zini kidogo kidogo kumbuka kuna jehanamu pia,wewe chukulia poa tu hata kama nyumba ni choo Mungu akubariki mwaka 2019 ukawe mwaka wa baraka kwako barikiwa @pastorwinner @magelewinner_tzView attachment 983646

Sent using Jamii Forums mobile app
Du, sasa hapo mbona umeshazinisha wote! Hiyo picha usingeweka ni uchochezi bwana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nikitaka kuzini gesti yangu kubwa ni vituo vya mabasi ya mwendo kasi haswa haswa kituo cha kimara mwisho, yaani nikiingiaga hua nnaweza kukaa hata masaa mawili nazini weeee hamu ikiisha natoka zangu naingia kwenye gari langu naenda zangu nyumbani.
Usichukulie poa uzuri wa kondoo ni unene wa mkia wake.

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
 
Mkuu mpaka nimecheka kwa sauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnatutamanisha tuangalie, alafu tukiangalia mnalalama. Kweli binadamu hamna jema. Tusipoangalia je mtaishije?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom