Sheria inasema Chanel za ndani ziwe free changamoto ni kwenye visimbuzi vya kulipia ambako havina haki hiyo je nini kifanyike ili kutatua hili?

deo paul555

JF-Expert Member
Oct 22, 2018
1,411
1,500
Habari wadau,kama nilivyoeleza hapo juu suala lenyenwe ni Chanel za ndani kuzipata kwenye visimbuzi je unafikiri kipi kifanyike ili huduma tufaidi sote wenye visimbuzi tofauti karibuni kwa mawazo wadau wako humu najua ujumbe wataupata hatimaye ikasaidia hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom