Sitamsahau Prof. Tibaijuka maishani mwangu

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Prof. Tibaijuka alipokuwa Mkurugenzi Mkuu wa UN Habitat aliipenda Tanzania na kuipa misaada pale ilipobidi.

Nakumbuka mwaka 2010 kulikuwa na Mkutano Mkuu wa UN Habitat kule Vancouver Canada na mimi ni mojawapo niliyepewa upendeleo wa kuhudhuria mkutano huo mkuu wa ulimwengu.

Hata Mhe. Rais Magufuli tulikuwa naye kwenye mkutano huo kama Waziri wa Ardhi na Makazi. Mhe. Magufuli alikuwa Mwenyekiti kwenye mada fulani fulani ambapo na mimi nilikuwepo.

Prof. Tibaijuka binafsi sitakusahau maishani kwa kuniwezesha kuhudhuria mkutano huo mkubwa kule Canada.

Mhe. Rais ninakuomba umfikirie huyu Prof. kwa wadhifa wowote ule utakaomfaa. Watanzania tulioenda Canada alitutendea mema sana.
 
Prof. Tibaijuka alipokuwa Mkurugenzi Mkuu wa UN Habitat aliipenda Tanzania na kuipa misaada pale ilipobidi. Nakumbuka mwaka 2010 kulikuwa na Mkutano Mkuu wa UN Habitat kule Vancouver Canada na mimi ni mojawapo niliyepewa upendeleo wa kuhudhuria mkutano huo mkuu wa ulimwengu. Hata Mhe. Rais Magufuli tulikuwa naye kwenye mkutano huo kama Waziri wa Ardhi na Makazi. Mhe. Magufuli alikuwa Mwenyekiti kwenye mada fulani fulani ambapo na mimi nilikuwepo. Prof. Tibaijuka binafsi sitakusahau maishani kwa kuniwezesha kuhudhuria mkutano huo mkubwa kule Canada. Mhe. Rais ninakuomba umfikirie huyu Prof. kwa wadhifa wowote ule utakaomfaa. Watanzania tulioenda Canada alitutendea mema sana.
Shangazi yako au?
Mimi sioni logic ya kumwambia raisi.
My best president Magufuli Hana huo ujinga wa fadhira hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prof. Tibaijuka alipokuwa Mkurugenzi Mkuu wa UN Habitat aliipenda Tanzania na kuipa misaada pale ilipobidi. Nakumbuka mwaka 2010 kulikuwa na Mkutano Mkuu wa UN Habitat kule Vancouver Canada na mimi ni mojawapo niliyepewa upendeleo wa kuhudhuria mkutano huo mkuu wa ulimwengu. Hata Mhe. Rais Magufuli tulikuwa naye kwenye mkutano huo kama Waziri wa Ardhi na Makazi. Mhe. Magufuli alikuwa Mwenyekiti kwenye mada fulani fulani ambapo na mimi nilikuwepo. Prof. Tibaijuka binafsi sitakusahau maishani kwa kuniwezesha kuhudhuria mkutano huo mkubwa kule Canada. Mhe. Rais ninakuomba umfikirie huyu Prof. kwa wadhifa wowote ule utakaomfaa. Watanzania tulioenda Canada alitutendea mema sana.
Ulipaswa kueleza kuwa ni kitu gani mlichokifanya kwa nchi kwa kuhudhuria mkutano huo, huyu prof kuwawezesha kwenda Canada haitoshi kuwa sababu ya kupeana vyeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prof. Tibaijuka alipokuwa Mkurugenzi Mkuu wa UN Habitat aliipenda Tanzania na kuipa misaada pale ilipobidi. Nakumbuka mwaka 2010 kulikuwa na Mkutano Mkuu wa UN Habitat kule Vancouver Canada na mimi ni mojawapo niliyepewa upendeleo wa kuhudhuria mkutano huo mkuu wa ulimwengu. Hata Mhe. Rais Magufuli tulikuwa naye kwenye mkutano huo kama Waziri wa Ardhi na Makazi. Mhe. Magufuli alikuwa Mwenyekiti kwenye mada fulani fulani ambapo na mimi nilikuwepo. Prof. Tibaijuka binafsi sitakusahau maishani kwa kuniwezesha kuhudhuria mkutano huo mkubwa kule Canada. Mhe. Rais ninakuomba umfikirie huyu Prof. kwa wadhifa wowote ule utakaomfaa. Watanzania tulioenda Canada alitutendea mema sana.
Naheshimu maoni yako lakini pia namheshimu sana madame
Amini nakwambia kila mtanzania aliyewahi kupata nafasi ya kuitumikia nchi alifanya vizuri sana kwa kutanguliza utaifa
Binafsi nimetumikia taifa langu na ninaendelea kufanya hivyo
Amini tu kwamba sio lazima rais aone hata asipoona Mungu anaona na natosha sana

Amini tu kwamba sio lazima rais aone hata asipoona Mungu anaona na inatosha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prof. Tibaijuka alipokuwa Mkurugenzi Mkuu wa UN Habitat aliipenda Tanzania na kuipa misaada pale ilipobidi.

Nakumbuka mwaka 2010 kulikuwa na Mkutano Mkuu wa UN Habitat kule Vancouver Canada na mimi ni mojawapo niliyepewa upendeleo wa kuhudhuria mkutano huo mkuu wa ulimwengu.

Hata Mhe. Rais Magufuli tulikuwa naye kwenye mkutano huo kama Waziri wa Ardhi na Makazi. Mhe. Magufuli alikuwa Mwenyekiti kwenye mada fulani fulani ambapo na mimi nilikuwepo.

Prof. Tibaijuka binafsi sitakusahau maishani kwa kuniwezesha kuhudhuria mkutano huo mkubwa kule Canada.

Mhe. Rais ninakuomba umfikirie huyu Prof. kwa wadhifa wowote ule utakaomfaa. Watanzania tulioenda Canada alitutendea mema sana.
Kule hakuwa kisiasa kilichomponza ni kushika wizara akawa mwanasiasa na tamaa zikamzidi waulizi alichowafanya chasimba kule maeneo ya tegeta kwenye mgogoro wa ardhi kati ya wananchi na kiwanda cha wazo cement
 
Prof. Tibaijuka alipokuwa Mkurugenzi Mkuu wa UN Habitat aliipenda Tanzania na kuipa misaada pale ilipobidi.

Nakumbuka mwaka 2010 kulikuwa na Mkutano Mkuu wa UN Habitat kule Vancouver Canada na mimi ni mojawapo niliyepewa upendeleo wa kuhudhuria mkutano huo mkuu wa ulimwengu.

Hata Mhe. Rais Magufuli tulikuwa naye kwenye mkutano huo kama Waziri wa Ardhi na Makazi. Mhe. Magufuli alikuwa Mwenyekiti kwenye mada fulani fulani ambapo na mimi nilikuwepo.

Prof. Tibaijuka binafsi sitakusahau maishani kwa kuniwezesha kuhudhuria mkutano huo mkubwa kule Canada.

Mhe. Rais ninakuomba umfikirie huyu Prof. kwa wadhifa wowote ule utakaomfaa. Watanzania tulioenda Canada alitutendea mema sana.
Upupu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliishatumikia kwenye nafasi alizowahi kupewa mda wake ukaisha, wapewe wengine pia. Kuna viongozi wengine wengi tu wazuri kushinda huyo Prof.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prof. Tibaijuka alipokuwa Mkurugenzi Mkuu wa UN Habitat aliipenda Tanzania na kuipa misaada pale ilipobidi.

Nakumbuka mwaka 2010 kulikuwa na Mkutano Mkuu wa UN Habitat kule Vancouver Canada na mimi ni mojawapo niliyepewa upendeleo wa kuhudhuria mkutano huo mkuu wa ulimwengu.

Hata Mhe. Rais Magufuli tulikuwa naye kwenye mkutano huo kama Waziri wa Ardhi na Makazi. Mhe. Magufuli alikuwa Mwenyekiti kwenye mada fulani fulani ambapo na mimi nilikuwepo.

Prof. Tibaijuka binafsi sitakusahau maishani kwa kuniwezesha kuhudhuria mkutano huo mkubwa kule Canada.

Mhe. Rais ninakuomba umfikirie huyu Prof. kwa wadhifa wowote ule utakaomfaa. Watanzania tulioenda Canada alitutendea mema sana.
Aisee hata mimi sitamsahau alivyokuwa anahangaika kuuza maeneo yetu Kigamboni. Kuanzia Ferry hadi Kibada!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prof. Tibaijuka alipokuwa Mkurugenzi Mkuu wa UN Habitat aliipenda Tanzania na kuipa misaada pale ilipobidi.

Nakumbuka mwaka 2010 kulikuwa na Mkutano Mkuu wa UN Habitat kule Vancouver Canada na mimi ni mojawapo niliyepewa upendeleo wa kuhudhuria mkutano huo mkuu wa ulimwengu.

Hata Mhe. Rais Magufuli tulikuwa naye kwenye mkutano huo kama Waziri wa Ardhi na Makazi. Mhe. Magufuli alikuwa Mwenyekiti kwenye mada fulani fulani ambapo na mimi nilikuwepo.

Prof. Tibaijuka binafsi sitakusahau maishani kwa kuniwezesha kuhudhuria mkutano huo mkubwa kule Canada.

Mhe. Rais ninakuomba umfikirie huyu Prof. kwa wadhifa wowote ule utakaomfaa. Watanzania tulioenda Canada alitutendea mema sana.
Nilidhani una hoja ya maana!

Kwa kukuwezesha ww kuhudhuria tu ndio kigezo! Huu ni ubinafsi wa hali ya juu
 
Na mimi sintamsahau alipokuwa anajirusha na hela zikiwa kwenye sakafu baada ya kupewa 1.5b wakati uleee

Sent from my SM using Tapatalk
 
Huu ni msiba kwa kweli. Kwa nini kumzibia mwenzio kanafwasi?? Leo kama akimkumbuka akamwinua tena si tutajua ni hisani?? Weye mubaya kapisa
 
Prof. Tibaijuka alipokuwa Mkurugenzi Mkuu wa UN Habitat aliipenda Tanzania na kuipa misaada pale ilipobidi.

Nakumbuka mwaka 2010 kulikuwa na Mkutano Mkuu wa UN Habitat kule Vancouver Canada na mimi ni mojawapo niliyepewa upendeleo wa kuhudhuria mkutano huo mkuu wa ulimwengu.

Hata Mhe. Rais Magufuli tulikuwa naye kwenye mkutano huo kama Waziri wa Ardhi na Makazi. Mhe. Magufuli alikuwa Mwenyekiti kwenye mada fulani fulani ambapo na mimi nilikuwepo.

Prof. Tibaijuka binafsi sitakusahau maishani kwa kuniwezesha kuhudhuria mkutano huo mkubwa kule Canada.

Mhe. Rais ninakuomba umfikirie huyu Prof. kwa wadhifa wowote ule utakaomfaa. Watanzania tulioenda Canada alitutendea mema sana.
Hujaeleza chochote kwamba Prof. alifanya nini kwenye mkutano huo kilichokuwa na manufa makubwa kwa taifa. Hujashawishi bado Kiongozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom