The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Mzuqa
Kila siku natafuna machenza kama 15 tangu zianze kuingia sokoni mwezi uliopita. Ni tunda tamu sana unakuta kama hayo machenza ni nayokula 15 utakuta moja au mawili yana mbegu ndani na mbegu zenyewe tatu au mbili.
Kuna aina mbili ya chenza Clementin na tangerine. Asili ya machenza ni South east asia ambapo China inaongoza kwa uzalishaji na usambazaji ikifuatiwa na Japan, South america Chile, Peru, Uruguay na Aregentina.
Ulaya ugiriki, Italy na Spain. Middle east Lebanon
Kwa Africa South Africa inaongoza sanasana Machenza ya sauz yanapata soko sana middle East.
Msimu wa machenza ulaya haukawii sana ikishafika hapo mwezi wa pili hauzion.
Enjoy while it lasts