Capetown lounge Dodoma mnapashwa kunyanganywa lesseni ya biashara

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Capetown complex Dodoma mnapashwa kunyanganywa lesseni ya biashara kwa kitendo cha kufuata matakwa ya mahitaji ya lesseni. Kuruhusu na kuendelea kuwaruhusu watoto wa umri wa Chini ya umri wa mwaka mmoja Kuruhusu kuendelea kuwepo Bar hadi saa sita u siku wa manane. ... Nina picha na video za Tukio hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazazi au wenye bar ndio wa kulaumiwa ?
Juzi club huko moshi nimemuon mwanamke ana mimba kubwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Capetown complex Dodoma mnapashwa kunyanganywa lesseni ya biashara kwa kitendo cha kufuata matakwa ya mahitaji ya lesseni. Kuruhusu na kuendelea kuwaruhusu watoto wa umri wa Chini ya umri wa mwaka mmoja Kuruhusu kuendelea kuwepo Bar hadi saa sita u siku wa manane. ... Nina picha na video za Tukio hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siingilii masuala yasiyonihusu lakini mleta mada hii post yako naweza kuweka bondi nyumba yangu ya urithi kuwa umelewa (sahizi) ulipoandika hii post.
 
Back
Top Bottom