Namtafuta Detta Vililo Mafie (Mlezi wa Jermin Omary Chocholo)

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,006
2,667
Mtu huyu amepoteza nyaraka muhimu na zimeokotwa na raia mwema.

Kama kuna anayemfahamu, amwambie awasiliane nami.

Anaweza kutuma email kwa uongozi wa JF ili wanitafute (support @ jamiiforums. com )
 
"Anaweza kutuma email kwa uongozi wa Jamiiforums ili wakutafute"

Sio yeye/wao wakutafute

Umetumia akili kubwa sana.
 
"Anaweza kutuma email kwa uongozi wa Jamiiforums ili wakutafute"

Sio yeye/wao wakutafute

Umetumia akili kubwa sana.

Mambo ya kutafutana hapana. JF watanitumia PM, nitamuunganisha na msamaria aliyeokota nyaraka hizi (maana sio mimi)
 
Back
Top Bottom