Habari wana jamvi.
Tafadhali naombeni msaada wa mawazo, nimejaliwa kupata mtoto wa kike ana miezi mitano sasa. Changamoto iliyopo kwenye ukuaji wake ni kukaa kwa shida lakini pia miguu hawezi kuisimamia pale unapomsimamisha kwa kumshika.
Sina uzoefu sana na ukuaji wa mtoto maana ndo wa kwanza huyu. Kwa maelezo hayo kuna shida yoyote kwa mtoto huyu? Naombeni ushauri wenu wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app